Hongera baba paroko kwa kuwadhibiti wahuni na wavaa nusu uchi ktk ibada

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,444
21,894
Ukienda kusali huku umevaa mavazi ya kikahaba ama kishoga utakomea getini tu ktk hili kanisa, Binafsi nawapongeza viongozi wa hii parokia kwa kuweka utaratibu huu ambao nimeupenda.

Team vigodoro hahahaa kwa nabii Bulldozer kunawafaa zaidi, ila kwa huyu baba paroko mpite mbali.
1582116938842.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyi ni sahih saana, natamani makanisa yote yanaojitambua yangeiga na kufuata mfano huu, Mkuu kama una connection yeyote kuweza kuwapata Viongozi wa dini uwatumie hii meseji huenda wakapata mahala pa kuanzia, yaani kama unafahamu social media group lolote linalowahushu viongozi hao ni kuwatumia tu, yaweza kusaidia, au nipe mimi.
 
Kuna baadhi ya nguo, kwa mfano jezi, sidhani kama zina shida sana. Inategemea na hali ya uchumi wa mtu. Ninadhani kuvaa nguo za heshima na staha, zinazositiri mwili na zenye adabu ndio inapaswa kuwa kipaumbele.
Mkuu uchumi gani unaongelea hapo ?, hizo Tshirt za matimu yenu ya mpira mbona huwa zinauzwa bei kubwa tuu, mtu anashidwaje kununua shati la kawaida la mikono mirefu kwenye mtumba akalifua na kulinyoosha vizuri !?, nadhani hapa wala si swala la uchumi, waislam hawana mizaha kwenye vazi la kuingia nalo kwenye Ibada.
 
Sisi sio Waislam, ni Wakatoliki. Maana ya Ukatoliki ni universal. Tuna Wanakanisa wa matabaka yote.

Hizo jezi wanazovaa (wale wa tabaka la chini) sio hizi original. Wananunua mitumba, na wengine wanapewa na ndugu zao.

Sio kila mtu yupo vizuri kiuchumi kama wewe.
 
kijana wangu alikwenda idara ya serikali (Uhamiaji) na T-shirt ya Manchester United akakataliwa kuingia. Sasa kwa nini unaona ni sawa kuingia na nguo hiyo kanisani wakati hata idara za serikali zinapinga?
 
Back
Top Bottom