Hongera AY kwa kutwaa tuzo(chanell o music awards)

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,201
42,060


Nachukua nafasi hii kumpongeza AY kwa kutwaa tuzo kwani ni wasanii wengi walishiriki lakini hawajafanikiwa na pia wakali zaidi yake. Nafikiri pia ni wapongeze watanzania kwa kumpigia kura za kutosha msanii huyo na zilizo pelekea kutwaa tuzo hiyo.

Ni vyema watanzania tukaendelea kuwapa support wasanii wetu wa nyumbani kama wanavyo fanya nchi za wenzetu na kusaidia kuitangaza nchi yetu kimataifa kupitia muziki.
Akiwa msanii pekee kutoka Tanzania (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni( I DON'T WANT TO BE ALONE) akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi maarufu kama Sauti Sol.

H0ngera sana AY
Hongereni watanzania.


Source: Mpekuzi.com




:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:








 
100890d1268614015t-pakistan-social-networking-information-technology-website-image-bank-clip_congratulations2.gif
 
hongera Ambwene ,songa mbele zaidi zingatia soko la kimataifa kwani huko ndiko kwenye pesa,achana na umaarufu mwisho Morogoro.
 
hongera Ambwene ,songa mbele zaidi zingatia soko la kimataifa kwani huko ndiko kwenye pesa,achana na umaarufu mwisho Morogoro.
haaahahhahhha
umenichkesha sana hapo kwenye red
 
Ila tuache ubishi category aliyokiwepo ilikuwa rahisi mno....asingeshinda ningeshangaa mno
 
Huyu si kama WalE Wanavua nguo jukwaan na kubong'oa.
 
Labda naye ataitwa Ikulu kupongezwa na kuombwa ambatane na Kinana kutembelea mikoa.
 
Back
Top Bottom