Hongera Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo, Malasusa achague kushirikiana na Mmuuaji au Kanisa

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,145
2,000
Wapendwa ni kwamba katika Waraka wa Kitume ulio tolewa na Maaskofu wa KKKT sikukuu ya Pasaka mwaka jana ulikuwa na ujumbe mzito wenye kutafuta kuliponya taifa ambalo kwa maono ya Maaskofu hao waliokuwa wamefunga katika Maombi ya Mwezi mmoja waliona ni vema hatua stahiki zichukuliwe.

Waraka huo ulijulikana kwa jina la "Amani yetu Taifa letu" uligusia mambo mengi muhimu kwa mustakabali wa taifa. Waraka huo ulipangwa kusomwa ktk Makanisa yote ya KKKT Tanzania siku ya Pasaka.

Katika jambo la kufedhehesha kwa Kanisa ni kuwa Waraka huo haukusomwa ktk Dayosisi ya Pwani ambayo Askofu wake ni Malasusa. Habari za uhakika zinaeleza kuwa Kutosomwa kwa Waraka huo kunatokana na Ushawishi uliofanywa na bwana Daud Albert Bashite kwa Askofu huyo na hivyo basi yeye kuamua kusalimisha Mamlaka yake ya Uaskofu kl Kwa Bashite na kumtii.

Bashite hakuishia hapo tu pia aliandika Barua akishirikiana na Magenge yake ya Uharifu kwenda KKKT akiwataka waufute Waraka huo ambao kwa kiasi kikubwa ulikuwa unakemea Matendo ya uvunjaji wa Haki za binadamu hapa nchini. Lakini chakustaajabisha zaidi ni kuwa Bashite alitishia kulifuta kanisa la KKKT eti kwa kuwa linakemea uovu wao wanao utenda.

Lakini Kama Maandiko yasemavyo Mungu hadhihakiwi, Chochote Apandacho Mtu ndicho atakacho vuna. Mungu hashindani na Mwanadamu kamwe. Marekani wamemtaja Bwana Bashite kuwa kinara wa uuaji, utekaji, utesaji na kupoteza watu hapa nchini.

Ni jambo la kujipima kwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani kuwa anachagua upande upi kati ya kushirikiana na Giza au Nuru.

Maendeleo hayana vyama!Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
284
500
Watz tuandamane kushinikiza wamarekani watoe ushahidi juu ya tuhuma kwa mchapakazi ambae wamarekani huenda wanamuonea wivu.

Tuandamane kuwataka wamarekani watoe ushahidi wa tuhuma walizotoa ili tuache ramli, ushahidi wa tuhuma hizo ndio zitakazo amua hatma ya watz kama tuchague kuwapigia kura upande wa Wauuaji au upande wa walioathiriwa na wauwaji.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,491
2,000
Lituye,
Malasusa ni Asikofu uchwara sana kwanza ni fisadi na ana njaa hatari sana na pia ni mpenda michepuko hakuna mfano pesa zote alizokwiba na zingine za misaada huishia kwenye michepuko hana uadilifu hafai kuwa Asikofu yafaa afukuzwe mara moja
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,491
2,000
Le mutuz kaleta waganga wa kienyeji 34 toka Africa ya kati kwa ajili ya kumlinda asitumbuliwe, kufa kufaana Le mutuz anakula pesa za Bashite kama hana Akili nzuri
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,491
2,000
Mohamed Abubakar,
Watanzania wa wapi wataandamana ? labda CCM wenzake? Lakini Mtanzania mwenye Akili timamu hawezi kuandamana kwa ajili ya Daud Bashite
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,491
2,000
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu yupo upande wa Daud Bashite zaidi ya watu wajinga wajinga kama akina cyprian Musiba na Le mutuz kubwa jinga lipenda michepuko ya school bash
 

TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,864
2,000
Majimbo ya Pwani ya Dar es Salaam yote yana shida ya usaliti wa Viongozi wao. Hata Pengo alituangusha sisi Wakatoliki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom