Hongera Amos Makalla kwa kazi nzuri, kikao chako leo hukutukana mtu, hukumkebei mtu, hukumdhalilisha mtu, hukuonyesha ubabe wala majigambo

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja kutoke mpaka Yesu arudi, yeye alikuwa noma, kwanza katika mikutano yake kulikuwa na polisi wengi kuzidi wananchi mpaka mtu unapata hofu na watu wa huduma ya kwanza walikuwepo na zile machela za kubebea watu au viongozi watakao dondoka na presha.

Leo nimemwona RC Amos akimpa mtu kisemeo anamuacha mpaka amalize tofauti na yule mtumishi wa Mungu mwenzangu maana ilikuwa mtu akianza tu kujieleza alinyang'anya maiki. Kama kiongozi akiulizwa swali au atoe ufafanuzi kama akimesi kidogo alimdharirisha pale pale, na kama alikuwa ajaoga ilibidi akaoge kwanza. Mkoa ulipata kupita katika kipindi kigumu sana.

Kuna sehemu nilimwona akitumia hekima kubwa sana kwa kumlinda DC wake Gondwe ambaye alikuwa akitoa majibu ya kisiasa badala ya utatuzi wa jambo kihalisia. Kuna mama mmoja kabwela mama wa daraja la chini kutoka chini yeye amedhurumiwa kiwanja, yule mama alianza kwa kujieleza kuwa yeye anabangaiza kachoka maisha yake ni ya kubip na kuomba msaada kwa RC hili asaidiwe kwani kila kitu anacho yaani document na anapamili miaka mingi ila ametokea samaki mkubwa kama sangara kameza.
Gondwe alipombwa kutoa ufafanuzi yeye akasema huyo mama akatafute wanasheria hili kupata msaada wa kisheria, RC akauliza huyu mama ataweza kweli kupata mwasharia, Gondwe akajibu katika ofisi yake ameshawasaidia watu wengi sana katika wilaya yake kalibuni wote waliofika kwake na kuwapa wanasharia.

Nilimwona Mh. Mkala akitumia hikima kubwa na kumwambia sawa ila ikishindikana naomba umrudishe kwangu nimtaftie mwenyewe. Pele Mkuu alikuwa anajua mazingira yote ya wilayani ndiyo maana aliomba arudishwe tena kwake lakini kama kungekuwa hakuna watu yaani wako peke yao Amos na Gondwe angemchana.
Na kuna sehemu katika majibu yake RC alioneka kupenda busara itumike zaidi katika mambo madogo madogo kuliko kukimbilia katika sharia kwani aliyaoona ni matatizo yanatatulika kimamlaka lakini Mh. Gomdwe yeye kilakitu alikuwa analalia katika sharia tu kanakwamba hana mamlaka hata chembe.

Lingine nililolisikia kwa Amos ambalo nimeona ni jema ni kuwa kuna kata ina tatizo wanamaliza mwaka sasa madereva na wananchi wanaomba magari yawe yanageuziwa sehemu flani na si kuweka standi, mkuu huyo wa wilaya kwake ilikuwa ishukubwaaa nadhani alikuwa anatafuta ufafanuzi wa kisharia, lakini Amos yeye akalimaliza kwa kusema mimi kama mkuu wa mkoa naruhusu magari yageuzwe pale kama kukitokea tatizo nifwatwe.

Ongera Amos kwa kazi nzuri, kikao chako leo ukutukana mtu, ukumkebei mtu, uku mdharirisha mtu, ukuonyesha ubabe majigambo kana kwamba mkoa wa babayako mzazi wala kumwamlisha OCD kuweka mtu ndani akatumie ndoo kujisaidi. Tofauti na kipindi fulani cha mtu fulani haya yote ilikuwa yatokee. Kwa sababu nakumbuka niliongea na kiongozi fulani aliniambia kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanabeba vindonge vya presha katika mikutano ya aliye waikuwa mkuu wa mkoa wetu.

Mimi kama mtoto wa mchungaji nasema fumba macho nikuombee, Mhs. Amos na usisahau kuleta sada katika madhabau ya bwana.
 
Ww ni mtoto wa mchungaj nani ???
 
Upuuzi mtupu. His njaa vijana haigangwi hivi. Huyu unayemsifia kuna lolote la maana tokea aletwe Dar? Gosh!
 
Back
Top Bottom