Hongera Air Tanzania, safari mpya zitakuwa na manufaa kwa nchi

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
346
380
Ndugu zangu,

Ni budi kusema "Uwekezaji, Uamuzi Makini wa Rais John Pombe Magufuli katika sekta ya anga sasa waipa nchi heshima. Air Tanzania yatajwa kuwa moja ya mashirika matatu ya ndege yanayotamba Afrika, ikijipanga kwenda Duniani. Air Tanzania joins regional battle for lucrative new routes.

Mungu Ibariki Tanzania
airTanzania.jpg
 
Ndugu zangu,

Ni budi kusema "Uwekezaji, Uamuzi Makini wa Rais John Pombe Magufuli katika sekta ya anga sasa waipa nchi heshima. Air Tanzania yatajwa kuwa moja ya mashirika matatu ya ndege yanayotamba Afrika, ikijipanga kwenda Duniani. Air Tanzania joins regional battle for lucrative new routes.

Mungu Ibariki TanzaniaView attachment 1020533
Air Tanzania inatamba Afrika? Ina safari za wapi na wapi mpaka imeingia kwenye ushindani?
ATC ni yetu sote, tuiombee ifanikiwe malengo yake ila tusiisifie kwa isicho kifanya.
 
Unajua vijana wadhani siasa ya uchumi ni propaganda kuna mashinko na matinki hili si suala la Tundu lissu au kuzuia vyama vya ipinzani kufabya siasa za majukwa .Uchumi ni sayansi na si majaribio ya kuonja sumu au kupiga propaganda wakati maisha ya watanzania hasa huduma za kijamii ziko hoi kama miundo mbinu ya mashule mengi Tanzania hasayaliyo pembezoni mwa Tanzania.watu kukicha kujipendekeza kwa kupiga propaganda wakati uchumi ni sayansi na si propaganda
Air Tanzania inatamba Afrika? Ina safari za wapi na wapi mpaka imeingia kwenye ushindani?
ATC ni yetu sote, tuiombee ifanikiwe malengo yake ila tusiisifie kwa isicho kifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametumia neno "yanayo tamba" na likaleta maana, angetumia neno "yatakayo tamba" kusingekuwa na mshtuko huu
Of course ATCL inatamba kwa sasa, ndege mpya kabisa, siyo za kukodiwa na hazidaiwi na yeyote, iliyobaki ni kujipanga tu kukata anga za kimataifa.

Mpaka sasa tupo vizuri kwa kigezo chochote kile.
 
We have more than enough brand new aircrafts to tackle the market, why not?
What about those who made them!! (aircrafts) how would they be bossing around the planet (if they were you)!!! yet you call them mabeberu!!

Never reprimand chief mangungo because he did better than ccm.
 
Of course ATCL inatamba kwa sasa, ndege mpya kabisa, siyo za kukodiwa na hazidaiwi na yeyote, iliyobaki ni kujipanga tu kukata anga za kimataifa.

Mpaka sasa tupo vizuri kwa kigezo chochote kile.
Kipya kinyemi ingiwa ni kidonda!!

Service zitafanyiwa chato airport/stadium
 
The Tanzanian flag carrier, revived and revamped by President John Pombe Magufuli following years of turbulence with huge debts and losses, on Monday, February 11, unveiled new flights to Lusaka, Zambia, and Harare, Zimbabwe's capital. Read more: Air Tanzania joins regional battle for lucrative new routes
Zambia tuna reli "TAZARA" inatuunganisha nao still no economic capitalization, lipo bomba la mafuta "TAZAMA" the darkness part of economy still looming!!!

Zimbabwe route might magnetically pulling our currency backwards!!

No relief from those 'OWL"
 
Of course ATCL inatamba kwa sasa, ndege mpya kabisa, siyo za kukodiwa na hazidaiwi na yeyote, iliyobaki ni kujipanga tu kukata anga za kimataifa.

Mpaka sasa tupo vizuri kwa kigezo chochote kile.

ndege ni za serikali, imeazima ATCL ijiendeshe hivyo ATCL haina chochote cha kujivunia maana madeni yapo na itajaigharimu kuyalipa...cha kujivunia ni kwamba imepata serikali inayoijali hivyo wachape kazi kuweza kujisimamia kuwa shirika kubwa
 
Back
Top Bottom