Hongera Abdulrahman Kinana

Hata mimi nampongeza kwa kuhakikisha kwamba anamaliza tembo wote kwenye mbuga na hifadhi za taifa.
 
Izo siasa zenu.. ngoja tuone mwisho wake.
Watu wanajenga chama, nyie mnarumbana huko... kwa mambao yasio jenga.

Tena shujaa ambaye anaweza kuwinda mnyama aina yeyote bila woga keshamaliza Seregeti na Mikumi sasa anahamia ngorongoro kutumalizia tembo
 
Kwani kilikua Kimebomoka? Ua huo ujenzi wa miaka zaidi ya theklathini ni wanini? Nani alikibomoa? Amejenga Chama kwenye Mchanag pepo na mvua zikija mahali pake hapataonekana katu......
 
Kukifanya kua imara zaidi.
Pia kuondoa mivutano ndani ya chama na kujiona kila mtu anaweza, na kulopoka anapojisikia pasipo kufata taratibu za ndani ya chama.

Kwani kilikua Kimebomoka? Ua huo ujenzi wa miaka zaidi ya theklathini ni wanini? Nani alikibomoa? Amejenga Chama kwenye Mchanag pepo na mvua zikija mahali pake hapataonekana katu......
 
Hongera Abdulrahman Kinana, kwa kazi nzuri ambayao unaifanya ya kukijenga chama kwa kutumia siasa safi, kuanzia ndani ya chama hadi nje ya chama. Kazi yako inaonekana na matunda yake yanaonekana.
katika ziara zake zote mbona hafafanui Serikali ya CCM ina mikakati gani kutokomeza ujangili hasa wa meno ya Tembo?.
 
Tena shujaa ambaye anaweza kuwinda mnyama aina yeyote bila woga keshamaliza Seregeti na Mikumi sasa anahamia ngorongoro kutumalizia tembo

Wacha kuropoka kama mlevi! Ukiombwa ushahidi wa matamko yako unaweza kutoa??
Mnfnssssssss!.

Cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Waache CDM waendeleze ubaguzi wa kikanda huku CCM ikizidi kujitanua

Kujitanua, kumaliza tembo, kuuza sembe, kung'oa watu kucha na meno bila ganzi na kuvurumisha mabomu kwenye mikutano ya vyama vya upinzani, ETI, EEEEH?
 
Back
Top Bottom