Hongera 20% Unatisha, UJUMBE MZURI SANA HATA KWA VIONGOZI WETU

Kazana na Ukazane tena na tena tupo nyuma yako wadau wa music, Nyimbo za Ujumbe nzuri sana mkuu. Sio hizi za masharobalo
 
I hope 20 pacent atainspire vijana wengi wanaoingia kwenye bongo flava kwamba inatakiwa vitu gani wawe wanaaandika ili waeleweke na jamii pamoja na rika zote!..............hata mapenzi yana jinsi yakle ya kuandika inashangaza sik,u hizi hata taarabu c kiswahili tena?
 
Back
Top Bottom