Honestly chopping b4 marriage is not a good thing

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ulishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada ali kumind mbaya.

Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata mchumba na anakupeleaka kwao. Yule bishost ni mmoja katika mawifi.
 
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ukishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada alinkumind mbaya.

Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata mchumba na anakupeleaka kwao. Yule bishost ni mmoja katika mawifi.
Ile maana ya "No body can stop reggae" ndio itafahamika sk hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ukishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada ali kumind mbaya.

Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata mchumba na anakupeleaka kwao. Yule bishost ni mmoja katika mawifi.

unagombana mzee mwenye nyumba tena mbaya,mwisho wa siku mwanae ndo umempa mimba na anataka utambulike kwao hapo umuoe.nani hata kuwa mpole hapo 🕺🏾🕺🏾🕺🏾
 
Hhasa hii kali
 
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ukishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada ali kumind mbaya.

Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata mchumba na anakupeleaka kwao. Yule bishost ni mmoja katika mawifi.

FB_IMG_1575134181627.jpg

Nipeni kwanza kirefu cha SGA maana mie sijasoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom