HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

SAMAP

Member
Nov 15, 2018
46
17
Ninaomba kufahamu kuhusu gari hizi mbili Honda stepwagon na Noah new model.
1. Uimara wake
2.ukaji wa mafuta
3. Upatikanaji wa spears hapa Tza
4. Uvumilivu wa barabata zetu View attachment 1154338
Screenshot_2019-07-15-16-31-05.jpeg
IMG-20190712-WA0016.jpeg
IMG-20190712-WA0017.jpeg
 
Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari?
 
Noah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo
 
Noah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo
Hiyo Noah ni mpya sana tofauti ya ile yenye engine ya D4 hii imeimarishwa zaidi baada ya engine ya D4 kuwa na matatizo
 
Back
Top Bottom