Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Nilinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linanitesa kuliko maelezo. Nimekaribu kuliuza kupitia madalali, nikifika picha hakuna anayejibu.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa

View attachment 1950104
Pole Sana hiyo cha mtoto jaribu Nissan X trail
 
Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Nilinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linanitesa kuliko maelezo. Nimekaribu kuliuza kupitia madalali, nikifika picha hakuna anayejibu.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa

View attachment 1950104
Bora umetoa ushuuda mapema mkuu. Maana hizi gari nilikuwa nazitolea macho sana.
 
Tatizo matunxo halafu unakuja kufungua uzi eti HONDA C-RV zinasumbua ,huo ni uwongo ,tena mkubwa hakuna brand imra nzuri ,na matunzo yake ni kiduchu sana compare na Toyota Rava 4 ,

Mmezoea kudanganyana pitia bac hata forum mbalimbali soma uone watu walivyotoa credit ,wazungu hawana ubabaishaji sio kama manazi wa Toyota wa Jf

Honda ndio mpango mzima ,honda fit ,honda CRV,Honda ondensy , narudia onda zidumu milele

sent from HUAWEI
Naona nawwe limekudodea so unataka uwaingize mkenge wapigakura.
 
Magari yote yanayoitwa yanasumbua ni kwasababu ya kukosa mafundi sahihi na uhaba wa spare zake.

Tz au Afrika mafundi wengi ni wa Toyota na spare za toyota zimejaa madukani.

Labda Kagame atatutoa kimasomaso na mradi wake wa Volks Wagen.
 
Back
Top Bottom