Honda CR-V & Mazda Tribute

ndama1

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
273
90
Ndugu waheshimiwa,

Plani yangu ilikuwa kuagiza Voltz bahati mbaya bajeti imegoma, nikaona nitafute gari nyingine, SUV, itayoendana na hali ya mfuko wangu na hali ya barabara ninakoishi. Gari tajwa hapo juu nahitaji mojawapo. Naomba ushauri wenu kwa wenye nazo au experience na hizo gari hasa vipuri, ulaji mafuta na changamoto zake kwa ujumla.

Nawasilisha hoja.
 
Sasa tukushauri vipi na hujasema unene wa mfuko wako? Embu chagua baa gani kinondoni tukutane ili tujadili hili, ikiwezekana njoo na mzigo nusu kwaajili ya adivansi.
 
SASA tukushauri vipi na hujasema unene wa mfuko wako? embu chagua baa gani kinondoni tukutane ili tujadili hili, ikiwezekana njoo na mzigo nusu kwaajili ya adivansi.
Unene wa mfuko wangu unaruhusu mojawapo ya hizo gari nilizotaja. Ninachotaka kujua ni ipi yaweza ikawa bora zaidi?
 
2015 Honda CR-V 1.6 i-DTEC 160 auto EX review

New 1.6 diesel with nine-speed auto is a compelling mix, offering 158bhp and 258lb ft while emitting just 134g/km of CO2 in four-wheel-drive form
 
Back
Top Bottom