Hon. Mbowe and Tundu Lissu: Pyschologically tortured and affected?

Habari za Doha ? nimemiss sana madhar ya doha nilikuwa hapo mwezi jana na nilishukia Al liwan suits. Anywa twende kwenye point ukifikiria hivyo unakosea wakati ule mwalim alipo kuwa mwenyekiti haikuwa na maana hakukuwa na vijana wenye uwezo kumshinda yeye. Kumbuka kwenye vyama hata hivi tunavyoviita vya domokrasi hakuna hiyo demokrasi viongozi wa juu wanakuwa kama wanateuliwa kinamna so wanachama wanaweza kumtaka mr A lakini chama kikamweka mr B na wakamwambia mr A aseme kuwa yeye hayupo tayari kuchukua hayo madaraka lakini moyoni anayataka! kwa maana hiyo usipumbae mkuu hizi ndio sihasa zetu.

Tamam ahali yangu. karib sana next time ukifika tuwasiliane mimi naishi Doha, nipo Qatar Petrolium.head Ofice hapa doha. Jina Dr Hamza yousuf Al Naaman.

mashkuur yaa akhuy
 
Tamam ahali yangu. karib sana next time ukifika tuwasiliane mimi naishi Doha, nipo Qatar Petrolium.head Ofice hapa doha. Jina Dr Hamza yousuf Al Naaman.

mashkuur yaa akhuy

Shukran yaa akhuy InshaAllah lawjit badauwarak habet Doha.
 
Back
Top Bottom