Hometheater vs Soundbar

zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
295
155
Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua.
Ni maduka gani kwa Dar naweza pata kwa bei nzuri?
 
matumizi yangu?
Matumizi yapi?
Je ukubwa wa sebule/ mahala unapotarajia kuweka pana ukubwa gani?
kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi
Ili kutofautisha, inabidi tuwe na kigezo.

Nitatumia kigezo kimoja Sound Quality

Home theater hana mpinzani kwa kigezo cha Sound Quality.

Na no vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua.
Pata original product, kama ni sony basi nenda kwa sony agents utapata bidhaa iliyo bora.
 
Unatakiwa utaje budget yako ni sh ngapi, maana soundbar zipo hadi M6+ na home theater pia ,mziki mzuri ni pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom