Hii hapana inipite kwakweli naweza kuweweseka nikiamka nikijihisi walozi wamenilaza nje,lol
Unauza?Mapambo ya nyumba yanapaswa kuwa machache mazuriView attachment 2023273View attachment 2023274View attachment 2023275
Babu mshana naomba tujuze Bei za huo urembo wa ukutani na mapaziaHapana natupia tu ukihitaji nakambia pa kuvipata
Jamaa mchwawi kinoma..uzi wake wa snap huwa naupitia kila siku kuona mapaja ya totozi wa JF..Mixer na ule uzi wetu wa misosiKama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k..
Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani
I'm down with this