ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 19,544 44,690 Nov 25, 2021 #9 Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani
Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,633 697,782 Nov 25, 2021 Thread starter #10 ndege JOHN said: Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani Click to expand... Hahahaha
ndege JOHN said: Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani Click to expand... Hahahaha
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,633 697,782 Nov 25, 2021 Thread starter #11 ndege JOHN said: Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani Click to expand...
ndege JOHN said: Kama kawaida yako ukianzishaga nyuzi za namna hii lazima tu subsribe..natabiri utafika comments 10k.. Ila ombi langu shusha nyingine za wallpaper za ukutani Click to expand...
Swet-R JF-Expert Member Jul 20, 2018 5,613 8,042 Nov 25, 2021 #18 Iko poa sana. Gharama yake tu. Wako wapi hawa mkuu?
Dumas the terrible JF-Expert Member Jan 20, 2021 4,050 8,192 Nov 25, 2021 #19 Mshana Jr said: 3D wallpaperView attachment 2023139View attachment 2023140 Click to expand... Daaaa sema Nini wadau Tutafute pesa Aisee,hii kitu nzuri Sana 3D aaagh yaani daaa inanipa hasiraaaa!
Mshana Jr said: 3D wallpaperView attachment 2023139View attachment 2023140 Click to expand... Daaaa sema Nini wadau Tutafute pesa Aisee,hii kitu nzuri Sana 3D aaagh yaani daaa inanipa hasiraaaa!
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Dec 11, 2019 2,889 4,294 Nov 25, 2021 #20 Mshana Jr said: 3D wallpaperView attachment 2023139View attachment 2023140 Click to expand... Mchawi mwenyewe akitua anga hizi lazima agaili kilichomuleta na kuanza kushangaa
Mshana Jr said: 3D wallpaperView attachment 2023139View attachment 2023140 Click to expand... Mchawi mwenyewe akitua anga hizi lazima agaili kilichomuleta na kuanza kushangaa