Home boy kampa mimba shemeji yake

Kuveta

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,172
634
Habari zenu waheshimiwa wote mliopo humu JF. Bila kupoteza muda naanza na mada straight. Kama ilivyo ada au desturi yetu waswahili tunapokutana popote nje ya mipaka yetu huwa tunaishi ki undugu kwa kushirikiana ktk mambo mbalimbali. Hapa kuna hawa ndug zetu mmoja anaitwa Chunya (sio jina halisi kutokan na maadili) ambae ana mke na mtoto mmoja, na mungine anaitwa Maumba (sio jina halisi) ambae ni best friend mkubwa wa Chunya. Kam nilivyoeleza hapo juu kwamba Chunya ni mtu mweny familia, ambapo Maumba anaishi kisela kwa madai kwamba eti yeye amekuja ukubwani kusaka maisha na sio kuanzisha familia, afu akishapata ndo badae arudi home kuowa na kuanza umpya "new life" akiwa na familia yake. Chunya aliishi vizuri san na familia yake. Chunya alishirikiana na home boy Maumba ktk mambo mbalimbali iwe shida au raha walishirikiana tu. Yan urafiki wao ulikuwa ni zaidi ya udugu mpk wengine mwanzon tulidhani ni familia moja. Chunya ni dereva na anafanya kazi ktk kampuni fulan (jina kampuni) kwahiy hutumia muda mwingi kuwa safarini, ila hilo halikuwa tatizo ktk siku za mwanzo za ndoa yao . Ndoa ya Chunya ikaanza kuingia doa taratibu. Inasemekana mke akaanza kukosa heshima kwa mumewe na kila alipoelezwa kuhusiana na swala hilo alikuja juu. Baada ya hali ile kuendelea kuwa mbaya huku hakuna maelewano ndan ya nyumba, ikabidi Chunya amshirikishe best wake Maumba ili aweze kusuluhisha ugomvi wao. Inasemekana Maumba akawa anajifanya kusuluhisha kinafki huku rohoni akifahamu chanzo cha tatizo. Akawa anasuluhisha lkn baada ya muda tatizo linajirudia. Mungu si athumani mke wa Chunya akashika mimba, Chunya hakukubaliana na mimba ile ikabidi waende kupima. Ambapo iligundulika kuwa mimba sio ya Chunya. Baada ya mwanamk kubanwa akaeleza ukweli kwamba mwenye mimba ni Maumba wakat huo Maumba hakuwepo Chunya kwa hasira akampigia simu kumuuliza ambapo Maumba alikataa kuhusika na mimba hiyo kwan ni shemeji yake so asingeweza kufanya uhuni huo. Jamaa hakuelewa wakaamua waende kwa Maumba kuupata ukweli wa swala hili ila kwa bahati mbaya wamemkuta Maumba ameshatoroka haijulikan alipo na nmb zake za sim hazipiti. Hapo ndo tukaamini kwamba msela Maumba kamega shemeji yake, kibaya zaidi mpk kamvimbisha tumbo. Dah ama kweli wema mtendee mbuzi utamnywa hata mchuzi, ila binadamu mwenzako.... Wema wote ule Chunya alimfanyia Maumba kamlipa ubaya dah.... Bado tunaendelea na msako wa kimya kimya mpk tutapomnasa jamaa, na tayar tushatoa taarifa ktk vyombo husika ili atapokamatwa sheria ichukue mkondo wake
 
Wakati mkiendelea kumsaka Maumba. Mke wa Chunya yuko wapi?
Mke yupo nyumbani kwa Chunya ila wanaishi kam mtu na dada yake, kila mtu analala ktk chumba chake. Wakat tukiendelea kumtafuta Maumba jamaa anafanya mchakato wa kumrudisha kwao mkewe
 
Kwa sasa mshikaji anapanga kumrudisha mkewe nyumbani maana kamdhalilisha san
Jamaa wako uboya ulianzia hapa

Demu mwenyewe akamwambia anamimba ya mchizi

Alafu bado et anaenda kwa mchizi kuthibiisha hahah

Yaan mwanamke akuambie inshu kama hii bado usimuamin?
 
Chunya kama ulijiapisha kuto oa single mother fukuza huyo mkeo
Hahaha tatizo sio single mother, tatizo ni mkewe kujazwa tumbo na msela wake mwenyewe wa karibu huku akiwa ndan ya ndoa. Wanasema kitanda hakizai haramu ila sio kwa mtu aina ya Maumba aisee dah...
 
Jamaa wako uboya ulianzia hapa

Demu mwenyewe akamwambia anamimba ya mchizi

Alafu bado et anaenda kwa mchizi kuthibiisha hahah

Yaan mwanamke akuambie inshu kama hii bado usimuamin?
Kwa aina ya urafiki wao ulivyokuwa alihisi labda dem kaamua kumbambikia tu msela ndo maana alimpigia ku confirm ila mara hii ya pili alivyokwenda alikuwa ashapanga kam ingethibitika ni kweli msela kajaza basi angemfanyia kitu ambacho asa hivi mayb kingekuwa stori redioni na gazetini. Bahati mbaya au nzuri maumba kushtukia akatimua
 
Waswahil walishasema wema usizid uwezo.Urafik pia usikose mipaka.Siwez kuishi na kaka yangu wala ndugu yangu wa kiume ndani ya nyunba yangu .Haya mambo yalikua yanawezekana zaman sana.nitamsaidia ndugu huko hko aliko.
 
Habari zenu waheshimiwa wote mliopo humu JF. Bila kupoteza muda naanza na mada straight. Kama ilivyo ada au desturi yetu waswahili tunapokutana popote nje ya mipaka yetu huwa tunaishi ki undugu kwa kushirikiana ktk mambo mbalimbali. Hapa kuna hawa ndug zetu mmoja anaitwa Chunya (sio jina halisi kutokan na maadili) ambae ana mke na mtoto mmoja, na mungine anaitwa Maumba (sio jina halisi) ambae ni best friend mkubwa wa Chunya. Kam nilivyoeleza hapo juu kwamba Chunya ni mtu mweny familia, ambapo Maumba anaishi kisela kwa madai kwamba eti yeye amekuja ukubwani kusaka maisha na sio kuanzisha familia, afu akishapata ndo badae arudi home kuowa na kuanza umpya "new life" akiwa na familia yake. Chunya aliishi vizuri san na familia yake. Chunya alishirikiana na home boy Maumba ktk mambo mbalimbali iwe shida au raha walishirikiana tu. Yan urafiki wao ulikuwa ni zaidi ya udugu mpk wengine mwanzon tulidhani ni familia moja. Chunya ni dereva na anafanya kazi ktk kampuni fulan (jina kampuni) kwahiy hutumia muda mwingi kuwa safarini, ila hilo halikuwa tatizo ktk siku za mwanzo za ndoa yao . Ndoa ya Chunya ikaanza kuingia doa taratibu. Inasemekana mke akaanza kukosa heshima kwa mumewe na kila alipoelezwa kuhusiana na swala hilo alikuja juu. Baada ya hali ile kuendelea kuwa mbaya huku hakuna maelewano ndan ya nyumba, ikabidi Chunya amshirikishe best wake Maumba ili aweze kusuluhisha ugomvi wao. Inasemekana Maumba akawa anajifanya kusuluhisha kinafki huku rohoni akifahamu chanzo cha tatizo. Akawa anasuluhisha lkn baada ya muda tatizo linajirudia. Mungu si athumani mke wa Chunya akashika mimba, Chunya hakukubaliana na mimba ile ikabidi waende kupima. Ambapo iligundulika kuwa mimba sio ya Chunya. Baada ya mwanamk kubanwa akaeleza ukweli kwamba mwenye mimba ni Maumba wakat huo Maumba hakuwepo Chunya kwa hasira akampigia simu kumuuliza ambapo Maumba alikataa kuhusika na mimba hiyo kwan ni shemeji yake so asingeweza kufanya uhuni huo. Jamaa hakuelewa wakaamua waende kwa Maumba kuupata ukweli wa swala hili ila kwa bahati mbaya wamemkuta Maumba ameshatoroka haijulikan alipo na nmb zake za sim hazipiti. Hapo ndo tukaamini kwamba msela Maumba kamega shemeji yake, kibaya zaidi mpk kamvimbisha tumbo. Dah ama kweli wema mtendee mbuzi utamnywa hata mchuzi, ila binadamu mwenzako.... Wema wote ule Chunya alimfanyia Maumba kamlipa ubaya dah.... Bado tunaendelea na msako wa kimya kimya mpk tutapomnasa jamaa, na tayar tushatoa taarifa ktk vyombo husika ili atapokamatwa sheria ichukue mkondo wake
Huyo mwanamke nae mtu analishwa na mumeo amewekwa na mumeo wakazi gani huyo kujishusha hadhi yakoo bure.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom