Home affairs na polisi angalieni hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Home affairs na polisi angalieni hili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Somi, Dec 27, 2010.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Najua nchi yetu ina uhuru wa kuabudu na kuheshimiana kila mtu na imani yake ya kuabudu. Lakini nashangaa kumejitokeza kikundi cha wachache wanajiita waislamu wanashambulia ukristo hapa kawe mpaka imekuwa kero kubwa! Magazeti yote yamenyamaza, polisi kawe wameziba masikio yao wanajifanya hawasikii. Hii ni hatari tunachezea, unashangaa polisi wanawanyima vibali vyama vya upinzani kufanya mikutano yao kwa kigezo cha kulinda amani na wanawaruhusu hawa wanaokashifu imani ya ukristo wafanye mikutano yao. Mimi ni mkristo nimeishi na waislamu miaka yote kwa ushirikiano wa kila hali naheshimu imani yao na naamini asilimia kubwa ya waislamu wanaheshimu imani ya wakristo ila hawa wachache waislamu wanaoshambulia imani ya ukristo watasababisha kuibua wakristo ambao watakosa uvumilivu na kushambulia imani ya uislamu na kuibua wanayoona ni mapungufu ktk imani ya uislamu. Pendekezo langu polisi isimamishe maramoja hii mikutano. Nigeria kunakuwa na vita ya dini kwa sababu ndogo ndogo kama hizi
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mihadhara imerudi kwa kasi sana mkuu...mimi naishi kunduchi mtongani na kuna msikiti unapiga tapes za mihadhara ya kukashifu biblia mara nyingi tu!
   
Loading...