Homa ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Homa ya uchaguzi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">

  </td> <td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Nguo zenye rangi, nembo na maneno yanayokisifia Chama Cha Mapinduzi zikiuzwa mitaani kama zilivyonaswa na kamera yetu. Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, nguo hizi huwa na wateja wengi.​

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. upele

  upele JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kwani zauzwa hizo mbona nasikia pamba hizo safari hii ni buree au vipi wadau si unajua jamaa huwaga wanafanya mabo ili tuwape kuraaahapo hapo kaka nina swali hivi askari wa jiji wakimkuta mmachinga anauza hizo pamba watampeleka polisi au vp
  Conquest
   
 3. gwambala

  gwambala Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaaaah wapi wampeleke polisi na vibarua vyao viishe!
   
Loading...