Hollywood yapiga marufuku Machozi ya kisanii ya Wazungu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mungu wangu sijui nianzie wapi kwanza namshukuru Mungu muweza wa yote, pili Familia yangu kwa ushirikiano wao, Meneja wangu kwa kazi nzuri aliyoifanya, Mwalimu wangu wa Shulle ya Msingi bila yeye sijui nisikuwa hapa, mara Mwalimu wangu wa Yoga na blah blah nyinginezo sasa STOP!

Academy of motion pictures Arts and sciences ya Marekani imekuja na utaratibu mpya ambao utaondoa usanii wa washindi wa Tuzo ya Oscar kutoa machozi na kuanza kushukuru kwa msululu mreefu majina yasioisha badala yake wanatakiwa watoe kabla majina ya watu ambao wanataka kuwashukuru nayo yatabandikwa ukutani hivyo machozi yenu ya kizungu kama ya kina Obama ya kutudanganya yamefikia kikomo!





2,w=650,c=0.bild.jpg


3,w=559,c=0.bild.jpg


resize
 
Daaaah,ila huyo bibi kizee hare berry ujue bado ananikosha,kama zari wa dangote vile,
 
failure to do so? unanyang'anywa tuzo?
cqn you stop emotions? unawez kuzuia mtnd yasiyo ya hiyari?


labda hilo la kutaja mkururu wa majina
 
Si hisia zinamfanya mtu kutoa machozi ?? Tatizo ni lipi hasa ?? Au mimi ndie sijaelewa ??? Unamkataza mtu asitoe machozi ila una ruhusu mkund* uliwe kihalali huu si useng***
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom