Hollywood na kuutangaza ushoga wahamia kwa kasi katika cartoon za watoto

Inaitwaje

Inaitwaje
Screenshot_2019_0515_225416.jpg

Screenshot_2019_0515_225000.jpg
 
Km blindspot..bonge la series ila wameforce kuweka part ya gays matokeo yake imekua ktuko nahisi ht waigzaji walilazmishwa
Rich.com - mshikaji very smart ila ndio hivyo tena akalazimika kucheza character ya kuwa gay!
 
Kabla ya hizo katuni za ushoga, mapunga wa Tanganyika walikuwa wanazalishwa kupitia kiwanda gani?
 
Rich.com - mshikaji very smart ila ndio hivyo tena akalazimika kucheza character ya kuwa gay!
Yeah mkuu.. ukiangalia vzuri unaona kbsa part ya ugay wao inawakera ad waoa..kuke reddit pia waliiliongelea hili..ila ndo hela na kazi hana jinsi
 
Tatizo mnatumia nguvu nyingi sana kupambana na mashoga badala ya kuelekeza nguvu hizo kwenye kupambana ushoga.
Namaanisha, kama kweli mnapinga habari za ushoga, basi tafuteni vyanzo vya ushoga kisha mtumia akili kuvitokomeza.
Vinginevyo, mtaishia kulalamika tu.

Chanzo kikuu cha ushoga ni wazazi kuwakataza watoto wao kufanya mapenzi kipindi wanapobalehe.
Mwili unakua tayari lakini wazazi mnawazuia.
Amini nakuambia, nyakati hizo ni mbaya sana kuwalaza wanaume waili kitanda kimoja
 
Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja.

Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi wanavoshepu dunia yetu.

Cartoon ya Arthur inayopendwa na sana na watoto karibu duniani kote imekuwa ikioneshwa kwa muda mrefu sana ikionesha Mwalimu anayeitwa Arthur akifunga ndoa na mwanaume mwingine kanisani imeamsha hisia tofauti kwa wapenzi wa Cartoon hiyo na namna gani italeta athari kwa watoto.

Kama jamii ya kitanzania hili suala ni la muhimu kwa jamii yetu na kizazi chetu cha watoto wetu, mambo si mambo kwenye hili swala la ishoga.

Nini maoni yako kuhusu vitu wanavoangalia watoto zetu

View attachment 1098109View attachment 1098110

aisee wakivamia:

1.simon
2.pepper pig
3.looney tunes
4.paw-trol
5.oddbods
6.tom and jerry
7.jungle book

mniambie ning'oe haka ka-Youtube Kids app kabisa!

mpaka nimetetemeka.......

as we go on maisha yanazidi kua magumu mnooo.....
 
Yani ni ufirauni mtupu tu.
Kuna series inaitwa the empire niliachaa kuiangalia baada ya season ya kwanza tu inaonyesha ugay.

Haya mambo sisi waafrica tuyapinge kwa nguvu sana.
Kama wao wanavyoyapinga yakwetu.

BR
Uduzungwa
 
In this world world now masculinity is criminalized and feminines are promoted.

Men are to be eliminated....

All strong men,and manhood behaviors are deemed inappropriate in this day and age.....

The world is changing...

Male touch is not welcomed anymore......

They want to eliminate all us men...only women and soft men are ruling the world now....
 
Wazungu wakihamasisha ushoga mnawapinga na kuona wana ajenda zao ambazo si sahihi ila wakivamia nchi za watu na hadi kuziharibu kwa vigezo vya demokrasia mnawaunga mkono hata kama mnajua kuwa ukweli wao kuvamia hizo nchi ni kwamba wana ajenda zao zengine.
 
In this world world now masculinity is criminalized and feminines are promoted.

Men are to be eliminated....

All strong men,and manhood behaviors are deemed inappropriate in this day and age.....

The world is changing...

Male touch is not welcomed anymore......

They want to eliminate all us men...only women and soft men are ruling the world now....
Umeitoa wapi hii theory?
 
Baada ya miaka mitano hivi, kwisha kabisa!!

Mwaka jana hivi Ile channel ya watoto ya Nickelodeone ilirusha kwa mara ya kwanza episode ya sitcom yenye characters mashoga.

Kwa sasa hivi Marekani ni bad business ukiwa kwenye show business af ukajidai unakaza.
Ndio maana kila TV series nowadays lazima ina character(s) wa aina hiyo. For business sake.
Hadi Marvel kwenye Avengers:endgame wame-introduce minor character wa kwanza ambaye ni shoga; na wamewaahidi wamarekani kati ya main characters wanaofuata lazima wawepo wa hivyo.

Key figures wote wapo so-called 'progressive'. Yaani bila trump kuwayumbisha kiasi, sasa hivi tungekaziwa hadi tunaopokea misaada tutangaze hadharani ku-support hizo mishe.

Yaan bas tena.

Nashukuru Mungu umri unaelekea elekea hukoo kunitupa mkono... kizazi kijacho kitajijua chenyewe wakati huo nimesharudi mavumbini.

Acha niagize bia hapa nisahau us**ge huu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom