Hollywood na kuutangaza ushoga wahamia kwa kasi katika cartoon za watoto

True that...

Watu weupe wameshakubali kuwa na maisha ya kiuwendawazimu
Siku hizi karibu movies zote pamoja na series lazima waweke maudhui ya kishoga au usagaji ama bisexual
Kuna sehemu hakuna hata uhusiano ila unakuta wameweka ka kipande ka mambo kama hayo
 
Siku hizi karibu movies zote pamoja na series lazima waweke maudhui ya kishoga au usagaji ama bisexual
Kuna sehemu hakuna hata uhusiano ila unakuta wameweka ka kipande ka mambo kama hayo
Km blindspot..bonge la series ila wameforce kuweka part ya gays matokeo yake imekua ktuko nahisi ht waigzaji walilazmishwa
 
Tell the children the truth... right now!

Come on and tell the children the truth!
Babylon system is the vampire
 
We refuse to be what you wanted us to be.

Babylon system is the vampire

Sucking the children day by day

Me say: the Babylon system is the vampire

Falling empire

Sucking the blood of the sufferers

Building church and university:

Deceiving the people continually

Me say them graduating thieves and murderers

Look out now: they sucking the blood of the sufferers

Tell the children the truth... right now!

Come on and tell the children the truth!
 
Back
Top Bottom