Hollywood movies mistakes you never noticed

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
33d7abd5e22da482cc1b9996ce1a4a6f.jpg

00f942a6d3d4664d8385cfd4ba5ebdfd.jpg
124e0341df7e4b69ed49842d9a474556.jpg
5106ca9a20ebf9c7f224864546e1d3fd.jpg
0b26edfbe94baeb8b5375d6f50011c6d.jpg
75753b1f77532e87f0e55e4497727b3d.jpg
50af2bf093b4cd38106e0a3218dbba54.jpg
6099f9ed1b8a7d4253692978c631fbc8.jpg
c51ce5cd0a4a5741057aca2b033081fd.jpg
b774e7afd3e95fbdb53629730d6648bb.jpg
94ec7c986dda477ba96d423b04518139.jpg
a3628bb346b0fd7538f8d2c3d81ed090.jpg
0e1c9126ca3016bcf164d1db711bd298.jpg

8ffc80f7490521f6281809f3660684d9.jpg
 
Ni mpka uwe makini sana maana ni Mara nyingi unaangalia tukio na hawa huwa wako faster sana
 
Nilichogundua hata hollywood wanakosea sana kwenye muvie zao kama wanavyokosea bongo movie.
*Sema tu ndo hivyo akijisaidia kuku ni taofauti na atakavyosemwa bata.
-Tusapot kazi za wasanii wetu wa nyumbani.
 
Haha concentration ya movie inatufanya tusigundue hivi vitu. Ila makosa kama haya huwa wanayatoa wenyewe wakati wanafanya tasmini ya movie ila hawawezi kurudia hizo sehemu zenye mistakes kwasababu ya garama na mwendelezo wa tukio lenyewe.
Ila ni ngumu sana kugundua
 
a9689a77c5fb3534b3cf5eeecbd849d3.jpg


hii muvi hawa nyani waliiba bunduki nyingi cha ajabu walizitumia vizuri sana uongo ulikuja hawakuwa wakizi reload bunduki zao.hapo wazungu walituibia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom