Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Kwa wapenzi wa muviez. Ni muvi gani kali ulizotazama 2016.
Kwa upande wangu mimi ni
I.T ndyo muvie kali ya 2016
Kwa upande wangu mimi ni
I.T ndyo muvie kali ya 2016
Sasa iyo ni ya Hollywood ?mkuu mi movie kali nilioiona this yr ni
BAISKELI...
humo utakuna na mzee majuto, na Gabo..
hebu vuta picha hapo hiyo movie ikoje..ni shidaa
Iyo accountant mbna nilijaribu kuiangalia hata sikuielewa nikaishia robo.The accountant
mechanic resurrection
the magnificent seven
Iangalie tena kwa utulivu, kama umeziona The Equalizer na John Wick basi ni movie flani ya muundo huoIyo accountant mbna nilijaribu kuiangalia hata sikuielewa nikaishia robo.
Nitaitaftia muda.Iangalie tena kwa utulivu, kama umeziona The Equalizer na John Wick basi ni movie flani ya muundo huo
Apocalypse ya 2016?kwangu mm top 5
1.suicide squad
2.dead pool
3.the accountant
4. Jason borne
5.13 hrs
though kuna captain America civil war,x-men apocalypse,bat men vs super men,the gods of egypt etc
Yep yep imekua released may 9, 2016 London & may 2016 USA that's X-Men apocalypseApocalypse ya 2016?