Holiday Inn Iringa tufananishe na wapi mikoa mingine

Thegreatcardina

JF-Expert Member
Mar 29, 2009
406
178
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
 
Sidhani kama mtoa post amewahi safiri eneo tofauti na nyanda za juu kusini
 
Jinsi ulivyowasilisha mada yako unadhani watu wote JF wanaijua hiyo sehemu, wanayajua matatizo uliyoyaona wewe, etc. Kwa ufupi upo too low kuwasilisha jambo lako
 
Hiyo Holiday inn ni bar ipo Iringa mjini kunapatikana machangu wengi sana pale,kwa kifupi pale machangu ni wengi kuliko wateja .Na panafanyika ufuska wa hatari sana
 
Hiyo Holiday inn ni bar ipo Iringa mjini kunapatikana machangu wengi sana pale,kwa kifupi pale machangu ni wengi kuliko wateja .Na panafanyika ufuska wa hatari sana

Kumbe nj Bar? Mtaa wa fisi ni kijiji cha umalaya.
 
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Mbona pauongo tu mzee baba kabaa ka sebule...af malaya wenyewe hawazid 30..wapumbavu ndo utawakuta pale
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom