Thegreatcardina
JF-Expert Member
- Mar 29, 2009
- 406
- 178
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Holiday inn ndiyo kitu ganiKwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Weka picha mkuuKwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Kona bar pale Mori..Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Umekumbuka Nini mchambuziHaha Holiday Inn ya Iringa kumbe bado ipo??
Umenikumbusha mbali sana
Hiyo Holiday inn ni bar ipo Iringa mjini kunapatikana machangu wengi sana pale,kwa kifupi pale machangu ni wengi kuliko wateja .Na panafanyika ufuska wa hatari sana
Mbona pauongo tu mzee baba kabaa ka sebule...af malaya wenyewe hawazid 30..wapumbavu ndo utawakuta paleKwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
Haka kaeneo mkuu kana machangu doa wengi kuliko wateja. Kanaelekea kuwa kama Shivas kwa wale wa ArushaPakoje mkuu?
Haya basi wewe uliye too high wasilisha ielewekeJinsi ulivyowasilisha mada yako unadhani watu wote JF wanaijua hiyo sehemu, wanayajua matatizo uliyoyaona wewe, etc. Kwa ufupi upo too low kuwasilisha jambo lako
Nimeandikiwa mkuuDuh! Ulikuwa unaandika wewe mwenyewe au umeandikiwa mkuu?