Holiday Greetings, Tuma salaam

Last edited by a moderator:
Baba paroko Eiyer nachukua nafasi hii kujikaribisha parokiani kwa misa ya sikukuu. Khantwe jina lako huwa linafanya nicheke maana kikwetu linamaanisha mtu mwenye kichwa kidogo hahaa! Nawatakieni sikukuu yenye heri za kutosha na kupitiliza
 
Last edited by a moderator:
Salamu ziwafikie shemegi yangu arusha one, dadangu Mpendwa Lady doctor, sijamsahau kabisa Mpendwa Wangu Smile huko ulikojificha, Mentor mwenyewe Salamu zako kutoka muccobs, jamani zikufikie Wewe wadada pendwa na Mimi Charity na miss chagga
Nitakuwa sio Mimi kabisa bila kuwapa Salamu hizi utafiti,@ excel Mr Rocky, watu8 mwenyewe, mabinamu zangu wapendwa ladyfurahia, Heaven on Earth, nitakuja tena eh....

Nimezipokea kaka mkubwa kabanga #teamrafiki wooote naomba mupokee salam zangu
 
Last edited by a moderator:
Na wewe pia Mungu akulindenhuweze kuukaribisha mwaka Mpya ukiwa hai
Nawapenda sana. Salaam zangu za upendo Kwa JF Arusha Wing, JF Dar Wing, JF Mwanza Wing, JF Tanga Wing, JF Dodoma Wing, JF Mbeya Wing, JF Diaspora, JF Headquarters na wings zooote pamoja na individuals.

Nawatakia sherehe zenye upendo na AMANI mwaka mpya we ye mafanikio.

Amen.
 
Back
Top Bottom