Holiday Greetings, Tuma salaam

Napenda kutuma salamu kwa wana JF wote wenye nia njema ya kuelimishana na kufarijiana pamoja na kufurahishana katika miiko ya jamii na dini.

Mbarikiwe nyote katika kipindi hiki cha sikukuu za xmass na mwaka mpya.

MUNGU awaepushe na mabalaa yote.
 
Nakushukuru sana mkuu kwani nafurahi kusikia binadamu mwenzangu ananikumbuka kwa mema,Mungu akubariki sana

Mkuu,vipi umejipangaje kuuacha ukapera?

Mimi najipendekeza kwa 'Valentina' nione kama atanihifadhi ...lol!

Kijana Eiyer! nakuwish vyote vilivyowishiwa kwa mada na wadau wengine.

Can i meet you?
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Jina lako gumu linanitia naniliu nikitamka Mashaxizo love you uwe na Christmass njema na mwaka mpya wenye baraka tele.

Hapo sasa umenena!

Mwenyewe love you mingi mingi! Heri na baraka zije kwako everlenk to the rest of your life. na laiti Mungu angesikia ningemwamwabia usife. kwa vile hakubaliani na hilo, basi stay young forever.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom