Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Ndio Ukubwa huo Mheshimiwa MkJJ hakuna suala la Mipango Miji hapo!!.Unaweza kukuta Hospitali inabomolewa kwa sababu tu mwenye pesa kapenda eneo!!!anataka kujenga nyumba inayotazama bahari!!
 
hii ni picha kutoka google image? Najua unaweza kuipata. Kwa wenzetu huwezi kuzoom in kiasi hicho, iwe ni Cook nuclear plant in Bridgman, MI au wizara ya ulinzi au nyumba nyeupe
 
Now you can comment on what you see... pick anything in the picture which seems not to be "ok"... au kitu kinachokushangaza.. au kukufanya uwe na swali..

...worry not, by the time mawimbi ya bahari Hindi yanafika hapo, Ikulu itakuwa "ishahamia" Idodomya :)
 
Nachoona mimi kwamba the grass aint 'deep green' i joke i joke...plus they need a helipad...ikulu hiyo..raisi needs a helicopter nitashauri budget ijayo lol
 
Haya ndo majengo yaliomeza billioni karibu 30 kwa ukarabati 2002-2005? ...mbona kama hapafanani na billioni 30... Ikulu haina gardener au? upande wa mashariki towards bahari majani choka mbaya... hayaeleweki kama ni lawn au shrubs zimejiotea.

Mkuu hivi unaweza kuipata US embassy dar huko kwenye google maps tukacompare?
 
jumbajeupe.jpg
 
mwanakijiji nafikiri hapa tunavuka mpaka jengo hili kama ninavyolifahamu tunawapa faida majasusi japokuwa wakitaka kupata lolote wanaweza kwa GPS. lakini sisi tuaiwe wa kwanza kuchombeza.Hayo ni maoni yangu binafsi.
 
mkuu KSV

Huyo mtu mpaka wa kumuita jasusi ambaye hajui hata kutumia google earth na anategemea aione hapa JF ni jasusi huyo au kibaka?...
 
This shot really fascinates me...

Hapa mahala pameshuhudia maamuzi ya kihistoria mengi kwa taifa letu.

Leo hi napachungulia kwa juu!... Back then tulikua tunaambiwa eti Mwalimu alikua na submarine yake humu ndani... mkizunguka majengo tu yeye huyoo anaenda kuibukia zanzibar...wabongo kwa stori.
 
Bahati mbaya hakuna tafsiri yake kwa lugha yoyote... Huyo jamaa yako naona sasa unataka kuscrew our mind..
 
Kibunango, mazingira ya hilo eneo yanaoenekaje? Yawezekana kuwa tunahitaji wafadhili waje kutuonesha jinsi ya kutunza mazingira na kurangisha kijani jumba letu kuu? au kutokana na nchi yetu kuwa masikini?

Linganisha mazingira hayo na ya Jumba Jeupe la DC.. well najua Wamarekani wao ni Taifa tajiri zaidi.. but then i thought about that BMW ambalo JK aliingia nalo Taifa juzi..
 
Back
Top Bottom