Hola!

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739
Nilikuwepo humu kipindi fulani,baada ya kupotea kwa muda mrefu nilivyorudi,ikawa ngumu ku-log in kabisa.
Sasa nimechoka kuwa guest muda wote,naomba mnikaribishe tena bila kinyongo ndugu zangu.
 
Ndugu yangu,sina njia nyingine ya kufanya na mi nimechoka kuwa guest.nilikuwa humu tangu 2007,can you imagine inaniuma vipi?
 
Back
Top Bottom