Hoja zinazoanzia magazetini zinakuja JF, Je hoja zinazoanzia JF zinaishia JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja zinazoanzia magazetini zinakuja JF, Je hoja zinazoanzia JF zinaishia JF?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPadmire, Oct 30, 2009.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Swali, mara nyingi naona hoja nzuri humu lakini naona hazifiki print media. kama magazeti lakini naona hoja zinazotoka magazetini zinaletwa huku.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Its two way traffic mate! fatilia
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,147
  Trophy Points: 280
  Jamii iko juu,
  tunachukua kutoka magazeti kisha tunazichanganua kwa kina maana zinakuwa ni data (most of them)
  lakini huku JF hoja zinaanzia kwenye data hadi kuwa information huku huku.
  sasa kitu kishakuwa information hakiuziki sokoni, na magazeti yako kwa ajili ya kuuza.
   
Loading...