Hoja ya Zitto, Dk. Slaa, imejibiwa na kufungwa

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,742
0
Njaa inamsumbua kweli!

Aende amuulize Rafiki yetu aliyekuwa na Jezi KIJANI no. mbili wakati wa Mkapa, tena na nafasi kubwa kubwa tu zaidi ya aliyonayo.

KADAKADA: mshauri huyo Rafiki yako TAMBWE Badala ya kupoteza muda na MAFISADI ajenge taifa litakalomsaidia yeye na vitukuu vyake shauri yake.

nimshauri au tumshauri, maana haniletei mie peke yangu hayo maendeleo bali mie na weye, wale na wao !
 

KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,357
1,225
nimshauri au tumshauri, maana haniletei mie peke yangu hayo maendeleo bali mie na weye, wale na wao !

Mimi naona weye atakuelewa haraka sana mimi nitapata matatizo sana kuelewana naye.

Maana nikisema hatuwezi kujenga Tanzania kwa kukumbatia MAFISADI yeye atanijibu akale wapi?

Bila kujua kuwa hata akilimbikiza kiasi gani bila kuweka mazingira bora na kuweka misingi kama watanzania itakuwa ni kazi bure.

Maana Tambwe anaelekea kuzeeka(ameanza siasa za hujuma muda mrefu) sasa vitukuu vyake vitakuwaje?
 

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,569
2,000
Huyu Tambwe Hizza ni nani Tanzania mpaka awaamulie Watanzania ni hoja gani inastahili kuzungumziwa na ipi imefungwa? :confused:
Hana chake huyu anabwabwaja tu, awaachie wenyewe Watanzania ndio watakaoamua nini cha kuzungumza na nini hakistahili kuzungumza, hizi ni nyakati tofauti sio kama ilivyokuwa mwaka 47.

Tambwe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom