Hoja ya Zitto, Dk. Slaa, imejibiwa na kufungwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,931
287,583
Huyu Tambwe Hizza ni nani Tanzania mpaka awaamulie Watanzania ni hoja gani inastahili kuzungumziwa na ipi imefungwa? :confused:
Hana chake huyu anabwabwaja tu, awaachie wenyewe Watanzania ndio watakaoamua nini cha kuzungumza na nini hakistahili kuzungumza, hizi ni nyakati tofauti sio kama ilivyokuwa mwaka 47.
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,696
781

Kweli kaka, naomba u-assume sio Tambwe, assume ni hoja kutoka kwa mtanzania mwingine kama wewe, sasa aidha ujibu hoja, au uache wachangie wengine, sio lazima kuchangia!
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,556
7,942
Babu, baadhi ya watanzania si ndo sisi tunaokata issues hapa? Ni kwamba hatujaridhika na majibu ya serikali. Kikubwa ambacho muungwana Hiza anapaswa kujua maswali ya kitaalamu hayajibiwi kwa propaganda "he is all over the map" hajachambua chochote cha kutusaidia. Angalau angesoma makala za Shivji labda hata kama sio mwanasheria angeelewa kidogo. Ofcourse naheshimu sana mchango wake lakini sikubaliani nao kwa sababu hauna mashiko. nikitumia neno pumba sio vyema lakini kaandika kama essay wakati tunahitaji sababu kujua "reasons for the decisions"

Sisi tunataka majibu ya kitaalamu, kwani yeye kajibu kama kada kitu ambacho hakina mantiki yoyote kabisa.

Anyway tuendelee na mjadala (lakini siku hizi inaonekana wanaopata wokovu wa kisiasa wanakuwa walokole kuliko waliowakuta kwenye wokovu tayari..) just thinking louder!
 
YNIM

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
2,217
11
Kilitime,
tofauti iwapi hapo kati yako, Tambwe na Bubu?..huwezi ku-direct watu ati debate iweje!! ache debate iendelee kwa mkondo wowote itakaochukua ili mradi hakuna matusi. Good god!! tatizo wajuaji mpo wengi sana, na kila mtu anadhani yeye ndio mwerevu kuliko wengine.......kazi ipo!, ati unamwambia Bubu "kuchangia sio lazima" WHAT?? are you serious?.
 
Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,333
...huyo Hiza si ndiyo yule aliyekimbia upinzani? ha haha haha haa anacheza sana huyu na pumba zake,hivi hajagundua tuu siasa za aina yake hazina nafasi tena kwa wananchi
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,696
781
Kilitime,
tofauti iwapi hapo kati yako, Tambwe na Bubu?..huwezi ku-direct watu ati debate iweje!! ache debate iendelee kwa mkondo wowote itakaochukua ili mradi hakuna matusi. Good god!! tatizo wajuaji mpo wengi sana, na kila mtu anadhani yeye ndio mwerevu kuliko wengine.......kazi ipo!, ati unamwambia Bubu "kuchangia sio lazima" WHAT?? are you serious?.

Mzee nakuheshimu kwa upande huo, hakuna anayekupandia!
 
BroJay4

JF-Expert Member
Aug 27, 2007
236
14
Kilitime,
Shukrani kwa ujumbe wako,tumeupokea,pia tutaujadili kistaarabu kama ulivyoomba.Anyway,mie sina mengi,maana mengi yamesemwa hata kabla ya hapo,ila alichofanya huyu Hiza ni kuongeza pumba,yaani badala ya kuchambua pumba na chuya yeye kaongeza na mchanga kwenye mchele.Asome alama za nyakati tu,watanzania wana hasira,na mwaka huu mtaabika kweli,najivunia kutokua mfuasi wa ccm,ningeficha wapi uso wangu?
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,770
2,708
Hawezi kutuzuia kuendelea kusema kwani tupo huru katika nchi huru. Huyu Tambwe ni kinyonga ambaye hugeuza rangi ya ngozi yake kutegemeana na mahali alipo. Hana msimamo kabisa ana kila aina ya dhiki na njaa, kama alitaka siasa pale CUF palimtosha isipokuwa alitaka kula huyu yupo tayari kuiuza hata nchi nashangaa hao ccm hawana filosofia ya utambuzi kumweka katika nafasi hiyo.
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,843
1,821
TUJADILI KIISTARABU; KAZI KWENU wakati huo huo tu-hit point and make it precise please.Hoja ya Zitto, Dk. Slaa, imejibiwa na kufungwa!!!; na Richard Tambwe Hiza

Nimesoma makala hiyo ya Richard, pamoja na kuwa na kichwa cha habari hapo juu, sijaona popote anaposema kuwa ameifunga. Labda ninaweza kusema ameijibu kwa upande wake. Tafsiri ingine inaweza kuwa mwenye tovuti hiyo anayakubali maoni ya Richard kwa kuweka hicho kichwa cha habari juu ya maoni hayo. NAjua hoja jiyo haijafungwa ndio maana tunaijadili hapa, ila kama imejibiwa au la, hayo ni mawazo ya mtu binafsi.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Jamani Tambwe baada ya kwenda CCM karudi mchezo wake wa biashara haramu ambao alikatiwa mirija akiwa opposition. Tambwe ana kila aina ya sababu kutafuta nafasi ndani ya CCM maana karibia watamtema kwa kuwa he cannot deliver because he is not effective.Tambwe anaishi CCM kwa mgongo wa Makamba maana hata kwao Temeke hawamtaki .Tambwe ana tenda mle ndani ya Uwanja wa Sabasaba . Ana tenda kubwa mno na ana kijikampuni chake fulani wanazidi kutula wananchi na ndiyo maana anakazana mno kuwa hadaa wananchi . Akicheza nitaleta habari za kampuni yake na namna anavyo lipwa na BET kwa kushirikiana na ndugu yake JK mmoja . So Tambwe hasaidii CCM ila anakazana kuongeza nafasi ya kuibia Seikal na kupewa tenda kinyemela .
 
KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,357
83
Jamani mbona Tambwe anaongea mambo mepesi mno? Ningetaka kujua Elimu yake. Au naye baada ya kurudi CCM anajifunza tabia mbaya?

Ningeomba aende kwenye mikutano ya adhara kule karibu na kijijini kwa Mkapa awaeleze hayo maneno kama hawajamtoa Baruti.

Hoja zake ni tafsiri nyepesi sana nafikiri ukishaweka mrija mahara huwa inakuwa vigumu hata kusoma na kuelewa.

Nakumbuka kuna Mzee mmoja wa CCM damu damu alikuwa mbishi sana na alikuwa haamini kila kinachosemwa kuwa kinyume na CCM hata kama ushahidi huko mkononi lakini juzi alipatwa na homa.

Alipopona tu akasema Dr Slaa ana hoja anatakiwa kujibiwa haya mambo ni mazito.

Nilitamani kuwaombea wanaCCM-wakereketwa wote waugue kwanza wakinywa dawa na kupona watapata mwanga.

Mimi nafikiri nyimbo zilizokuwa zinaimbwa zamani zimewafanya wakereketwa kuwa wagonjwa na hivyo wale wachache walioweza kupona mapema wakiwa na madaraka wamewatumia kupandia na kuwa MAFISADI. Hawa watu kama akina Tambwe(waliokuwa wanahujumu wenzao) wanahitaji dawa yakuondoa homa ili wapone.
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,738
70
Nakumbuka kuna Mzee mmoja wa CCM damu damu alikuwa mbishi sana na alikuwa haamini kila kinachosemwa kuwa kinyume na CCM hata kama ushahidi huko mkononi lakini juzi alipatwa na homa.

Alipopona tu akasema Dr Slaa ana hoja anatakiwa kujibiwa haya mambo ni mazito.

Nilitamani kuwaombea wanaCCM-wakereketwa wote waugue kwanza wakinywa dawa na kupona watapata mwanga.

.

nimejaribu kuchekecha na nikakucha huu ni umbea GRADE A, hivyo it can be exported to europe ready for use !
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,738
70
sijakuomba ushahidi, or never will i ! maana najua fika haya ni mambo yaliyokuwa yakisemwa nenda rudi mkuu ! KAKINDOOOOOOOOOOOOOOOO una undugu na sheikh kandoro ?
 
Tluway

Member
Oct 4, 2007
15
0
...Huyu Tambe.....alitaka maisha rahisi baada ya kuona ndani ya upinzani maisha yanahitaji mitulinga na yeye ameona afadhali kuyarudi amatapishi yake mwenyewe bora ....sasa analeta pumba hoja za kibabe kama waliompokea wanvyojiona wao wana hati miliki ya nchi hii pamoja na maisha yetu... siku mchezo ukigeuka utakija tena upande .....
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,738
70
mambo yakigeuka siku hiyo nadhani itakuwa ni generation ya mabibi wa wajuu zake vitukuu wetu hivyo huyo tambwe, kadampinzani, Tluway,Mwanakijiji na rafiki zake Karamagi, zitto, lowassa, mnyika, mbowe, slaa hatutokuwepo !

yaani nakwambia mabibi zao vitukuu vyetu, wee niambie mwenyewe vizazi vingapi hivyo !

JAMANI WAKUU KWA HIYO MSIKATE TAMAA NILIPOSEMA HIVYO, MAANA NI DHAHIRI KWAMBA MAPIGANO YENU NI KWA AJILI YA VIZAZI VIJAVYO, SO MSIWE NA WASI KAMA NYIE HAMTAONJA HAYO MAENDELEO ! true shyt !
 
KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,357
83
...Huyu Tambe.....alitaka maisha rahisi baada ya kuona ndani ya upinzani maisha yanahitaji mitulinga na yeye ameona afadhali kuyarudi amatapishi yake mwenyewe bora ....sasa analeta pumba hoja za kibabe kama waliompokea wanvyojiona wao wana hati miliki ya nchi hii pamoja na maisha yetu... siku mchezo ukigeuka utakija tena upande .....

Njaa inamsumbua kweli!

Aende amuulize Rafiki yetu aliyekuwa na Jezi KIJANI no. mbili wakati wa Mkapa, tena na nafasi kubwa kubwa tu zaidi ya aliyonayo.

KADAKADA: mshauri huyo Rafiki yako TAMBWE Badala ya kupoteza muda na MAFISADI ajenge taifa litakalomsaidia yeye na vitukuu vyake shauri yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom