Hoja ya ukaskazini na CHADEMA

KORBOTO

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,848
2,446
Katibu Mkuu wa kwanza CHADEMA Bob Makani (Shinyanga),

Katibu Mkuu wa pili Dr.Walid Kabourou (Kigoma),

Katibu Mkuu wa 3 Dr.Wilbroad Slaa (Arusha),

Katibu Mkuu wa nne Dr.Vincent Mashimbi (Mwanza).

Hadi sasa Kaskazini imetoa Katibu Mkuu mmoja tu kati ya wanne, sawa na asilimia 25% ya Makatibu wakuu wote. Sasa unawezaje kusema chama ni cha Kaskazini wakati Kaskazini yenyewe imetoa Katibu Mkuu mmoja tu?. Ili uelewe hoja ya Ukaskazini inabidi uvute bangi nyingi sana.!

nimeitoa pahala.
 
Hizo ni hekaya za Abunuwasi.Kaburou na Slaa wote walikimbizwa na wachaga.Hawakudumu CHADEMA.

Makani alikuwa akifanya kazi benki kuu kama naibu gavana wakati Mtei alifanya kazi kama Gavana wa benki kuu walipeana kirafiki

Angalia safu ya uongozi wa CHADEMA ilivyo sasa na wabunge wa kuchaguliwa na wa viti maalumu uone wengi wanatoka wapi? wengi wanatoka mkoa mmoja unaitwa Kilimanjaro.Ina maana kuanzia mapendekezo ya nani awe nani au agombee nafasi gani Kilimanjaro wanahusika.
 
Angalia secretariat..pili huyu SG ni rubber stamp ya Mbowe,Makani ni Shemeji wa Mtei,Mbowe ni Mkwilima,Prof Safari kuwakilisha waislamu hana nguvu etc....
 
Mbunge viti maalum Rukwa hajawahi kukanyaga hata mbeya,viti maalum zanzibar hajawahi na wala hayuko katika uanachama wa bawacha.

Hawa ndio walitaka wapewe nchi
 
Kwa ukatibu mnageresha tu mko vilevile hat makundi mbalimbali ya whatsapp watetezi wenu wakubwa ni wa kanda hiyo, huenda hata wewe ni walewale.
 
Ukawa pigeni kazi, wananchi tunawaunga mkono, ndiyo maana tumewapa wabunge wengi, na zanzibar tumewapa ushindi wa rais maalim seif
 
Hizo ni hekaya za Abunuwasi.Kaburou na Slaa wote walikimbizwa na wachaga.Hawakudumu CHADEMA.

Makani alikuwa akifanya kazi benki kuu kama naibu gavana wakati Mtei alifanya kazi kama Gavana wa benki kuu walipeana kirafiki

Angalia safu ya uongozi wa CHADEMA ilivyo sasa na wabunge wa kuchaguliwa na wa viti maalumu uone wengi wanatoka wapi? wengi wanatoka mkoa mmoja unaitwa Kilimanjaro.Ina maana kuanzia mapendekezo ya nani awe nani au agombee nafasi gani Kilimanjaro wanahusika.
Apewe Nape au Kibajaji, hebu chagua ktk hao ili tueakomeshe hawa wachaga.
Wanatusumbua haswa mpaka inabidi tukeshe humu mitandaoni usiku na mchana
 
Katibu Mkuu wa kwanza CHADEMA Bob Makani (Shinyanga),

Katibu Mkuu wa pili Dr.Walid Kabourou (Kigoma),

Katibu Mkuu wa 3 Dr.Wilbroad Slaa (Arusha),

Katibu Mkuu wa nne Dr.Vincent Mashimbi (Mwanza).

Hadi sasa Kaskazini imetoa Katibu Mkuu mmoja tu kati ya wanne, sawa na asilimia 25% ya Makatibu wakuu wote. Sasa unawezaje kusema chama ni cha Kaskazini wakati Kaskazini yenyewe imetoa Katibu Mkuu mmoja tu?. Ili uelewe hoja ya Ukaskazini inabidi uvute bangi nyingi sana.!

nimeitoa pahala.
Angalia secretariat..pili huyu SG ni rubber stamp ya Mbowe,Makani ni Shemeji wa Mtei,Mbowe ni Mkwilima,Prof Safari kuwakilisha waislamu hana nguvu etc....
Kwa ukatibu mnageresha tu mko vilevile hat makundi mbalimbali ya whatsapp watetezi wenu wakubwa ni wa kanda hiyo, huenda hata wewe ni walewale.
 
Hizo ni hekaya za Abunuwasi.Kaburou na Slaa wote walikimbizwa na wachaga.Hawakudumu CHADEMA.

Makani alikuwa akifanya kazi benki kuu kama naibu gavana wakati Mtei alifanya kazi kama Gavana wa benki kuu walipeana kirafiki

Angalia safu ya uongozi wa CHADEMA ilivyo sasa na wabunge wa kuchaguliwa na wa viti maalumu uone wengi wanatoka wapi? wengi wanatoka mkoa mmoja unaitwa Kilimanjaro.Ina maana kuanzia mapendekezo ya nani awe nani au agombee nafasi gani Kilimanjaro wanahusika.[/QU
Kwani Sugu ni Mwenyeji wa wapi?Na ni Mbunge wa wapi?Wachaga they are every where na wakigombea wanapata acha wivu na wewe gombea kwenu badala ya kulalamika na kuleta hoja mbovu
 
Kwa ukatibu mnageresha tu mko vilevile hat makundi mbalimbali ya whatsapp watetezi wenu wakubwa ni wa kanda hiyo, huenda hata wewe ni walewale.
Ikitokea mwenyekiti sio mchaga Mt.Kilimanjaro mafia hataunga mkono chama,alipokuwa mwenyekiti Bob Makani hakuungwa mkono wachaga walisapoti NCCR/TLP....ndio hulka...ni kweli Mbowe kafeli lakini siku akiachia ngazi na chama akapewa asiye mchaga kitapotea na wote watamsapoti Mbatia.
 
Umesomea wapi nyota mkuu
 
Katibu Mkuu wa kwanza CHADEMA Bob Makani (Shinyanga),

Katibu Mkuu wa pili Dr.Walid Kabourou (Kigoma),

Katibu Mkuu wa 3 Dr.Wilbroad Slaa (Arusha),

Katibu Mkuu wa nne Dr.Vincent Mashimbi (Mwanza).

Hadi sasa Kaskazini imetoa Katibu Mkuu mmoja tu kati ya wanne, sawa na asilimia 25% ya Makatibu wakuu wote. Sasa unawezaje kusema chama ni cha Kaskazini wakati Kaskazini yenyewe imetoa Katibu Mkuu mmoja tu?. Ili uelewe hoja ya Ukaskazini inabidi uvute bangi nyingi sana.!

nimeitoa pahala.

Ha ha ha, eti hapo unajiona umekokotoa.
Okay.
 
Kuna vitu msiwe mnakumbushia watu wakaingia hasira na kwenda kuyafukunyua madudu ya Chadema!, kwa kukusaidia tuu, una majibu ya hoja hizi?.

Kwa kuanzia jee unajua kwenye bunge lililopita kulikuwa na Baba mtu bungeni, akiwa na mwanae, viti maalum, na mkwewe, mke wa mtoto wake wa kiume?!, tena shukani kanuni ya viti maalum ni lazima awe mwanamke vinginevyo baba huyo angeingiza mwanaye, bintiye na mkwewe?!.

Jee wajua kuna mbunge kaingiza dada yake wa kuzaliwa bungeni viti maalum?!.

Jee wajua kuna kiongozi kaingiza kimada wake bungeni viti maalum, na kimada huyo huwa hachangii mjadala wowote kazi yake ni kuulambia tuu, na kutumika kwa zile huduma za kijamii, hadi kuzaa matunda?!.

Jee wamjua muanzilishi wa chama?!, jee wajua mwenyekiti aliyepo alipatikanaje?, jee waijua nasaba ya mwanzilishi na mwenyekiti?!.

Jee wajua katiba halisi ya Chadema iliweka ukomo wa uongozi ni vipindi viwili tuu, lakini 1996 katiba hiyo ilifanyiwa maekebisho, iliporudishwa kwa msajili, kipengele cha ukomo kikawa kimenyofolewa kinyemela?!. Unajua ni nani alikinyofoa na kwa nini?!.

Mambo mengine msikumbushie mkawatia watu hasira bure!.

Pasco
 
Pasco hapo hakuna jipya mzee, hoja ya Ukabila haina msingi tena, kama sasa hivi mnavyoshabikia na udini, mnapoteza muda huyu mzee haya mambo ya udugu na ukabila hazingatiii sana anazingatia weledi na uwezo wa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom