Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,164
- 4,581
- Thread starter
- #21
Kamanda tumeanza kuleteana dharau?Huyo mbwiga shushushu huyo.
Kamanda tumeanza kuleteana dharau?Huyo mbwiga shushushu huyo.
Kipindi kile ulipigwa mnada umeanza kurudi tena?List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.
Hana lolote ni tapeli tuHuyo mbwiga shushushu huyo.
Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?Huko kwenu viongozi wanaogopa kuanzisha mada ya ufisadi kwa sababu itabidi wanachama waanze kwanza kutaka kujua zilipokwenda zile milions walizokuwa wanakatwa wabunge kila mwezi kwa muda wa miaka mi5, pia watataka kujua sababu ya mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyew magari chakavu kwa bei ya dukani, watataka kujua yalipopotelea mamilioni ya ruzuku huku chama kikishindwa kujenga hata ofisi inayoeleweka nk. Ni vigumu kudili na matatizo he jirani yako huku yakwako yakikushinda.
Kuwa na busaraKipindi kile ulipigwa mnada umeanza kurudi tena?
Tetete ulinunuliwa lakiniKuwa na busara
Ndio nini hiki?Tetete ulinunuliwa lakini
Tulia wewe BashiteNdio nini hiki?
Lack of sense is a big problemTulia wewe Bashite
Ufisadi sio ruhusa popote mkuu. Lkn vyama vyote vina mafisadi, mpaka fisadi mungine tuliwekewa na wapinzani tumchague awe raisi wetu mwaka 2015, huku wakidai kwamba wana ushahidi wa ufisadi wake.Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?
😎Huyo mbwiga shushushu huyo.