Hoja ya ufisadi wa CCM kutunyanyua wapinzani, kama ilivyofanyika enzi zile list of shame ya mafisadi na sasa tuikiomalie na huu wasaa wa kuig'oa CCM

List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.


Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi wazi kwenye runinga. Huu ndio wakati wa kuwaeleza wananchi juu ya hili na wananchi wapate imani juu yetu ili kuig'oa CCM ya mafisadi.
Kipindi kile ulipigwa mnada umeanza kurudi tena?
 
2015, sijui nn kilitokea ad chama letu pendwa likawakumbatia wale ambao walikuwa kwenye list of shame, sijui Sasa hiv chama kitaanzia wap kuzungumzia ajenda ya ufisadi?
 
Huko kwenu viongozi wanaogopa kuanzisha mada ya ufisadi kwa sababu itabidi wanachama waanze kwanza kutaka kujua zilipokwenda zile milions walizokuwa wanakatwa wabunge kila mwezi kwa muda wa miaka mi5, pia watataka kujua sababu ya mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyew magari chakavu kwa bei ya dukani, watataka kujua yalipopotelea mamilioni ya ruzuku huku chama kikishindwa kujenga hata ofisi inayoeleweka nk. Ni vigumu kudili na matatizo he jirani yako huku yakwako yakikushinda.
Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?
 
Kwa hiyo huko CCM ufisadi ruksa?
Ufisadi sio ruhusa popote mkuu. Lkn vyama vyote vina mafisadi, mpaka fisadi mungine tuliwekewa na wapinzani tumchague awe raisi wetu mwaka 2015, huku wakidai kwamba wana ushahidi wa ufisadi wake.
 
Back
Top Bottom