jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,987
- 22,515
Hapana mkuu! I respect you. But I understand you as well, whether you like it or not! I don’t have to be smart just because I agree with you! Please bro, do-not insult my intelligence!Mkuu J. Mushi, ni kweli sieleweki kutokana na viwango tofauti tofauti vya uelewa miongoni mwetu, hivyo kwenye baadhi ya mabandiko yangu, kila mtu ataelewa kwa mujibu wa kiwango chake na uwezo wake wa uelewa, kama yalivyo maji nusu glasi, kwa wengine ni half full, na wengine ni half empty and both are right, hivyo kwenye huu udikiteta uliopo sasa nchini mwetu, unaweza kunisoma kama ninatetea udikiteta, na ukawa right, na kuna mwingine anaweza kunisoma kama ninapinga udikiteta kwa kushauri the right thing to do kuupinga udikiteta, na sio kuupinga kwa kupiga kelele, maandamano, au mikutano ya hadhara.
P.