Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Huyu ni mnafiki wa siku nyingi sana!!! Mwanzoni alisifia sana serikali, akawa anatafuta tonge! Alipoona hakuna dalili za tonge( yaani kupewa ka cheo kokote ndani ya serikali), akaanza kuchafua hali ya hewa! So, huyu jamaa ni ndumila kuwili design Fulani..!!! Huyu huku kwetu musoma simtofautishi na kitu kinaitwa "msimbe" yaani mwanamke unaeweza kumchukua ilimradi uwe na pesa..!!!

Vp bado mnadeki lami?
 
Kuna mahakama bora zaidi ya WANANCHI WALIOCHOKA!?!?
Lissu yupo sahihi muache apaze sauti watu wasikie na waamke.
kisha mob justice ichukue mkondo wake, hizo terminologies za ki LATIN mwisho kwenu huko.
Kwa nchi kama Tanzania lazima watu waingie barabarani,watu waji sacrifice ndio tutaelewana.
Serikali inatuchukulia poa kwasababu watu ni wapole na ndio maana kuna viongozi wengine wanapanda majukwaani na kututusi.
jeshi lina population ya watu karibia 1000,000.Tukiamua kujichukulia sheria mkononi hawana uwezo wa kutu contain.
Tutakufa wachache lakini wengi wata survive na kutoa hukumu stahiki.
Serikali ya CCM na majeshi yake hawawezi kutenda haki upande wa pili mpaka kuwe kuna CHAOS(kiuchumi,kijamii na kisiasa).
Bila hivyo tutaendelea kudharauliana na kuitana "wapumbavu na malofa" kisa tu wao ndio wanafaidi keki ya taifa.
Tanzania inahitaji tuheshimiane kwanza,watawala wajue hatutaki ujinga unapo onyesha upendeleo na ukiukaji wa haki watu wanakutoa tu kwenye jumba jeupe kwa njia binafsi sio kwa kwenda kwenye hizo mahakama zenu ambazo zinaendeshwa na katiba yenye sheria za kikoloni.
Naamini kuna wananchi wengi wanadukuduku mioyoni mwao,katika kila 10 ni watatu kwa population ya milioni 45 plus hao ni watu wengi sana kuleta changes.
Wakiendelea kuzingua lazima tuwaonyeshe sio rahisi kututawala kibwege bwege.
Ni swala la kuwandolea FEAR,watanzania wengi ni waoga lakini a little push una unleash ile roho yao halisi.
Kama mtu ana ujasiri wa kumnyofoa albino viungo atashindwaje kuingia mtaani kupinga kutawaliwa kidikteta akipewa right resources.
Tuache kuchukuliana poa.
 
Ndugu yangu Mayalla, Prelogative Orders hazitafutwi au kuombwa mahakamani kama maombi mengine yanavyoombwa. Prelogative orders hazitolewi kwa sababu tu nchi inaendeshwa kidikteta. Nchi inaweza kuendeshwa kidikteta lakini kukawa hakuna misingi ya kudai Prelogative orders. Orders hizi zina misingi yake na miiko yake ya kipekee kabisa iliyopo kisheria, na wala haziwezi kutolewa katika misingi ya kisiasa.
wewe sasa umeongea/andika nini?
 
Wanabodi,

Declaration of Interest, mimi Paskali, sio mwanachama, mshabiki au mfuasi wa chama chochote cha siasa, bali hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity, impartiality na balance. Kwa vile watu humu wana vyama vyao na viongozi wao ambao wengine wana waabudia, hivyo nakujua fika kinachomfika mtu atakayepandisha hoja, kuwapinga waabudiwa wao!.

Naomba nianze kwa kumpongeza Mhe. Tundu Lisu Kwa kutokuwa muoga kuizungumzia dhana ya udikiteta Tanzania bila uoga, japo the way anavyoielezea anazungumza kwa style ile ile ya uropokaji, the Magufuli style, hivyo kuonekana kama insane fulani, lakini ujumbe umefika.

Kwanza naomba kukiri kuwa mimi Paskali sio mwanasheria, Mhe. Tundu Lisu ni mwanasheria, hivyo mimi nazungumza kama a layman, na Tundu Lisu, japo kwanza mwanasheria kisha ndipo akawa mwanasiasa, mtu kuwa mwanasheria hakukufanyi always kuwa right, na mtu just a layman, anaweza kabisa kutofautiana na mwanasheria mbobezi na akawa right, mfano ni huu
Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! | Page ...

Katika jinsi ya kupinga udikiteta Tanzania, Tundu Lisu ametuasa tupaze sauti zetu kuupinga huu udikiteta kwa kupiga kelele ambako huku ni kuipinga kisiasa, wakati hoja halisi ya udikiteta, sio hoja ya kisiasa ni hoja ya kisheria. Hoja za kisiasa zishughulikiwe kisiasa, na hoja za kisheria, zishughulikiwe kisheria. Kushughulikia kisiasa kwa hoja za kisheria, ni kujifurahisha tuu, kamwe hakutaleta matokeo yoyote chanya.

Naomba kutofautina na Mhe. Tundu Lisu katika hili la udikiteta, kwa hoja kuwa udikiteta haupingwi kwa Press Conference, kwa maandamano, kwa mikutano ya hadhara, kwa kupaza sauti na kupiga kelele.

Udikiteta unapingwa kwa njia moja tuu, Court Review kupitia Mamlaka ya Mahakama Kuu kutoa kitu kinachoitwa Prerogative orders ziko 6, ila maarufu zaidi ni 3. (
  • certiorari, an order by a higher court directing a lower court to send the record in a given case for review;
  • mandamus, an order issued by a higher court to compel or to direct a lower court or a government officer to perform mandatory duties correctly;
  • prohibition, directing a subordinate to stop doing something the law prohibits;
  • habeas corpus, demands that a prisoner be taken before the court to determine whether there is lawful authority to detain the person;
  • quo warranto, requiring a person to show by what authority they exercise a power.
  • procedendo, to send a case from an appellate court to a lower court with an order to proceed to judgment) mtanisamehe sizijui Kiswahili chake.
Hivyo Lisu kama mwanasheria mbobezi, Mwenyekiti wa TLS na Mwanasheria Mkuu wa Chadema alipaswa kwanza kutumia the legal local remedies available, kwanza kuuthibitisha huo udikiteta, zikishindikana ndipo sauti zipazwe ili kusaidiwa na jumuiya ya kimataifa.

Udikiteta wa Magufuli Ulianza Lini?.
Kuna wengi humu wanaousikia udikiteta wa Magufuli wakidhani umeanza leo, no!, kuna aina mbili za vyanzo vya udikiteta na aina mbili za udikiteta.
Vyanzo vya udikiteta ni
1. Hulka ya Udikiteta nimeizungumza hapa -
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...

2. Mazingira ya Udikiteta nimeyazungumza hapa
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...

Aina za udikiteta
1. Udikikiteta Katili nimeuzungumza hapa-
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili ...

2. Udikiteta Uzalendo nimeuzungumza hapa-

Jee ni Kweli Tanzania Tuna Udikiteta?.
Hili ndilo swali kuu la msingi la kujiuliza, jee ni kweli Tanzania tuna udikiteta?.
Hili nimelizungumzia hapa
Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade ...
Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...

Udikiteta wa Vyama: CCM ni chama cha Kidikiteta, Ila pia Chadema ni Chama cha Kidikiteta.
Udikiteta wa vyama ni jinsi vyama vinavyoendesha mambo yake, haswa wakati wa uchaguzi wa viongozi wake, vyama karibu vyote vinahubiri demokrasia, lakini vinaendeshwa kidikiteta.
Udikiteta wa CCM katika uchaguzi wa viongozi wake, nimeuzungumza hapa
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...

Kwenye hili la udikiteta, hata Chadema hawana demokrasia hiyo wanayoihubiri, tena kuna hatari, hata kama ni Chadema wengeshinda uchsaguzi wa 2015, wangeweza kuendesha nchi hii kwa udikiteta wa ajabu kuliko hata huu tunaoushuhudia sasa. Hili nililiona na nililizungumza hapa
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...

Chadema na Matumizi ya Busara: Chama Cha Kiharakati, Hakiwezi Kupewa Nchi Kutawala!.
Chadema kuna tatizo kubwa la matumizi ya busara katika kauli za baadhi ya viongozi wake. Unaweza kukosoa kwa lugha ya kistaarabu na kwa unyenyekevu ukafikisha ujumbe vizuri zaidi kuliko kutumia lugha kali, machukizo, matukano na lugha isiyo ya staha. Wakati tukielekea uchaguzi wa 2015, tulishauri humu, ili Chadema kiweze kuaminiwa na kukabidhiwa nchi, ni lazima kionyeshe ukomavu, maturity, kufuatia kwa muda mrefu Chadema kujitanabaisha kama ni chama cha kiharakati, tulishauri Chadema kujibadili kutoka chama cha kiharakati, kuwa chama tawala chenye uwezo wa kuongoza nchi.
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...

Hata walipounda UKUTA, akina sisi tuliwashauri humu
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...

A Way Forward Kuelekea 2020, Kwa Kwa Udikiteta Huu Uliopo, na Siasa Hizi za Chadema, Do They Stand A Chance?.
Naomba kuwasilisha.
Hakuna kitu kigumu kukizungumza humu jf kama ukweli mchungu!, wengi wetu humu wataanza kuizungumzia 2020 on 2019, by that time it will be too little too late!, sisi waona mbali, tunaizungumzia 2020 sasa, ili kutoa muda wa gestation period ya kujipanga and to do something worthwhile before its too late.
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...

Kwa siasa hizi Chadema inazokwenda nazo, kwenye mazingira ya udikiteta huu uliopo, kama hawatabadilika, I'm very sorry to say....
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani ...

In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa ...

Paskali
Rejea Kuhusu Udikiteta.
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...

Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...

Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...

Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ..

Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

Rejea Kumhusu Tundu Lisu
Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni ...
Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura ...
Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas! | Page 10 | JamiiForums | The Home ...
Swali la Kizushi: Kwa Nini Job Ndugai Anamuogopa Tundu Antipasi ...
Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau ...

Pasco wewe haushabikii chama chochote kama unavyodai ila una facets, huna msimamo ndio shida yako. Hata usiposema watu wanakusoma kwa urahisi tu kwamba unatamani nini japo husemi direct, unageuza geuza maneno tuuu
 
Wanabodi,

Declaration of Interest, mimi Paskali, sio mwanachama, mshabiki au mfuasi wa chama chochote cha siasa, bali hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity, impartiality na balance. Kwa vile watu humu wana vyama vyao na viongozi wao ambao wengine wana waabudia, hivyo nakijua fika kinachomfika mtu atakayepandisha hoja, kuwapinga waabudiwa wao!. Wajemini haya ni maoni na mtazamo wangu tuu and not necessarily I must be right, hivyo Mhe. Tundu Lissu might be right and I might be wrong!.

Mayala kikwetu ni Njaa. Remember chanzo cha maneno haya na Maswali uliyouliza...MAMLAKA ANAIPATA WAPI??????? keep the answer yourself
 
Paskal

Heshima kwako.

I bet unatokea Kanda ya Ziwa. Inawezekana nawe ni Msukuma. Ikisemwa unatetea Wasukuma na nduguzo wa Kanda ya Ziwa usijisikie vibaya.

Ni maoni yangu tu.
 
Ahsante sana Mkuu kwa kuweza kuona unafiki na undumilakuwili wa huyu mkolomije.
Wasukuma wote wameungana, msome Mwanakijiji, msome Nyani Ngabu kisha msome huyu Njaa utapata jibu.

Ila jambo moja tu zuri alilonalo Magufuli hatabiriki, ukitaka kuujuwa ukweli huu basi muuliza Diallo au tune Star tv.
 
Paskal

Heshima kwako.

I bet unatokea Kanda ya Ziwa. Inawezekana nawe ni Msukuma. Ikisemwa unatetea Wasukuma na nduguzo wa Kanda ya Ziwa usijisikie vibaya.

Ni maoni yangu tu.
Haya si maoni tu bali ndio ukweli wenyewe. Fact.

Nyerere akiwa hai halihakikisha Tanzania haitopata Rais kutoka makabila makubwa, yule Mzee wengi hawakumuelewa, alipinga wachaga, wahaya, kupata upenyo wa nafasi ya Urais kwa sababu hizi. Hata wanyakyusa hawako nyuma kwa ukabila, Kibona alipewa ugavana tu BOT basi wafanyakazi wengi majina yakawa yanaanzia na Mwa Mwa tu.
 
Lissu ameshaiona hatari ya kutorudi bungeni 2020. Anajaribu kujidhatiti kimkakati zaidi, bahati mbaya mbinu anayojaribu kuitumia haina manufaa sana, binafsi ningelikuwa Lissu ningejikita jimboni kwangu zaidi kuliko kupoteza mda kwenye media ambazo kwa hakika wananchi wa Singida Mashariki hawatamwelewa. Watanzania wengi hasa vijijini wanachotaka ni kuona shughuli za maendeleo zikifanywa bega kwa bega na mbunge wao, kama afanyavyo profesa Jay wamitulinga kuliko huu upuuzi wa kwenye media wa huyu wakili msomi wa chadema.

Lissu apambane na ukanda na ukabila uliopo kwenye chama chake kwanza ndoo amseme magufuli,maana hata dada yake alichaguliwa viti maalumu chadema kama sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom