Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,830
- 54,045
Whaaaaaaaat? Nani anamjua huyo? Labda tuliomo JF. Impact yake ni ipi kwa Taifa?Kabisa Paschal ni zaidi ya Lissu
Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
Whaaaaaaaat? Nani anamjua huyo? Labda tuliomo JF. Impact yake ni ipi kwa Taifa?Kabisa Paschal ni zaidi ya Lissu
Kwamba LISU ni nani?Hivi paskali mzee wa kungata n'a kupuliza unataka kusema wewe ni zaidi ya Lissu?
Ova
Wanabodi,
Kwanza nampongeza Mhe. Tundu Lisu Kwa kutokuwa muoga kuizungumzia dhana ya udikiteta Tanzania bila uoga, japo the way anavyoielezea anazungumza kwa style ya uropokaji hivyo kuonekana kama insane fulani, lakini ujumbe umefika.
Kwa vile Mhe. Tundu Lisu kwanza mwanasheria kisha ndio mwanasiasa, ametuasa tupaze sauti zetu kuupinga huu udikiteta kwa kupiga kelele. Naomba kutofautina na Mhe. Tundu Lisu katika hili la udikiteta, kuwa udikiteta haupingwi kwa Press Conference, kwa maandamano, kwa mikutano ya hadhara, kwa kupaza sauti na kupiga kelele.
Udikiteta unapingwa kwa njia moja tuu, Court Review kupitia Mamlaka ya Mahakama Kuu kutoa kitu kinachoitwa Prerogative orders ziko 6, ila maarufu zaidi ni 3. (
Hivyo Lisu kama mwanasheria mbobezi, Mwenyekiti wa TLS na Mwanasheria Mkuu wa Chadema alipaswa kwanza kutumia the legal local remedies available, kwanza kuuthibitisha huo udikiteta, zikishindikana ndipo sauti zipazwe ili kusaidiwa na jumuiya ya kimataifa.
- certiorari, an order by a higher court directing a lower court to send the record in a given case for review;
- mandamus, an order issued by a higher court to compel or to direct a lower court or a government officer to perform mandatory duties correctly;
- prohibition, directing a subordinate to stop doing something the law prohibits;
- habeas corpus, demands that a prisoner be taken before the court to determine whether there is lawful authority to detain the person;
- quo warranto, requiring a person to show by what authority they exercise a power.
- procedendo, to send a case from an appellate court to a lower court with an order to proceed to judgment) mtanisamehe sizijui Kiswahili chake.
No matter how good someone is, it's not necessarily he/she will always right, na kwa jinsi nilivyomsikia Lisu akimzungumzia rais Magufuli, kama Chadema ndio kinawategemea watu kama hawa kuuingiza ikulu, kiukweli Lisu atawaingiza chaka Chadema kama alivyowaingiza kwenye chaka la katiba.
Tundu Lisu is good in his own way ila sio mtu very dependable yanapokuja masuala nyeti yenye kuhitaji vichwa vilivyotulia. Aendelee kutumika kwenye amsha amsha lakini kwenye very serious issues zinazohitaji busara, Lisu anahitaji usaidizi wa wenye busara.
Chadema kuna tatizo kubwa la matumizi ya busara katika kauli za baadhi ya viongozi wake. Unaweza kukosoa kwa lugha ya kistaarabu na kwa unyenyekevu ukafikisha ujumbe vizuri zaidi kuliko kutumia lugha kali, machukizo, matukano na lugha isiyo ya staha.
Naomba kuwasilisha.
Paskali
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ..
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa
Paskal Mayalla nikuambie kwa kawaida viongozi wa kisiasa hasa watawala wa kiafrika huwa hawaogopi mahakama bali huogopa nguvu ya umma. Kwa hiyo njia aliyotumia Lissu ndio njia sahihi kabisa, na iwapo kuna mwingine anaona njia ya mahakama ni bora basi anaweza kuitumia.
Kwa taarifa yako njia aliyoitumia Lissu leo imefika kwa usahihi na ninakuhakikishia imeacha damage kubwa kuliko hiyo njia ya mahakama unayosema. Hatupingi hiyo njia ya mahakama lakini ina less impact. Jaribu kuangalia wanaomtetea mkulu kwenye ule uzi, hakuna anayejibu au kutoa majibu ya kuridhisha zaidi ya kejeli na personal attack, matusi mengi nk. Maana yake ni nini ukiona hivyo ujue ujumbe umefika sehemu sawia.
Wanabodi,
Kwanza nampongeza Mhe. Tundu Lisu Kwa kutokuwa muoga kuizungumzia dhana ya udikiteta Tanzania bila uoga, japo the way anavyoielezea anazungumza kwa style ya uropokaji hivyo kuonekana kama insane fulani, lakini ujumbe umefika.
Kwa vile Mhe. Tundu Lisu kwanza mwanasheria kisha ndio mwanasiasa, ametuasa tupaze sauti zetu kuupinga huu udikiteta kwa kupiga kelele. Naomba kutofautina na Mhe. Tundu Lisu katika hili la udikiteta, kuwa udikiteta haupingwi kwa Press Conference, kwa maandamano, kwa mikutano ya hadhara, kwa kupaza sauti na kupiga kelele.
Udikiteta unapingwa kwa njia moja tuu, Court Review kupitia Mamlaka ya Mahakama Kuu kutoa kitu kinachoitwa Prerogative orders ziko 6, ila maarufu zaidi ni 3. (
Hivyo Lisu kama mwanasheria mbobezi, Mwenyekiti wa TLS na Mwanasheria Mkuu wa Chadema alipaswa kwanza kutumia the legal local remedies available, kwanza kuuthibitisha huo udikiteta, zikishindikana ndipo sauti zipazwe ili kusaidiwa na jumuiya ya kimataifa.
- certiorari, an order by a higher court directing a lower court to send the record in a given case for review;
- mandamus, an order issued by a higher court to compel or to direct a lower court or a government officer to perform mandatory duties correctly;
- prohibition, directing a subordinate to stop doing something the law prohibits;
- habeas corpus, demands that a prisoner be taken before the court to determine whether there is lawful authority to detain the person;
- quo warranto, requiring a person to show by what authority they exercise a power.
- procedendo, to send a case from an appellate court to a lower court with an order to proceed to judgment) mtanisamehe sizijui Kiswahili chake.
No matter how good someone is, it's not necessarily he/she will always right, na kwa jinsi nilivyomsikia Lisu akimzungumzia rais Magufuli, kama Chadema ndio kinawategemea watu kama hawa kuuingiza ikulu, kiukweli Lisu atawaingiza chaka Chadema kama alivyowaingiza kwenye chaka la katiba.
Tundu Lisu is good in his own way ila sio mtu very dependable yanapokuja masuala nyeti yenye kuhitaji vichwa vilivyotulia. Aendelee kutumika kwenye amsha amsha lakini kwenye very serious issues zinazohitaji busara, Lisu anahitaji usaidizi wa wenye busara.
Chadema kuna tatizo kubwa la matumizi ya busara katika kauli za baadhi ya viongozi wake. Unaweza kukosoa kwa lugha ya kistaarabu na kwa unyenyekevu ukafikisha ujumbe vizuri zaidi kuliko kutumia lugha kali, machukizo, matukano na lugha isiyo ya staha.
Naomba kuwasilisha.
Paskali
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ..
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa
haa haa tunasubiria hivo mkuu. maana jina la rais halipaswi kutajwa hasa kwa kukosolewa.Tunasubiri kusikia "Lissu akamatwa kwa kumtaja mtoto wa dada"
DC Hepi kichwa hicho kipe masaa 48

Maneno haya ayasome Maghufuli au wasaidizi wakeKwa sasa mahakama kuu ya Tanzania sio Taasisi huru,majaji wanaingiliwa kwenye shughuli zao mpaka wanaamua kujiuzuru,
Na kama mahakama inaingiliwa kwenye kutenda haki,haki zetu tuzitafutie wapi?je kuna haja ya kupeleka kesi mahakamani katika hali hii au tuangalie namna nyingine? Kama unazizuia mahakama zisitupe haki,na sisi kama nchi tunataka haki na tumekubaliana kikatiba tutaipata mahakamani,na wewe umezizuia mahakama zisitoe haki,nchi nzima ikiamua kutafuta mbadala wa mahakama nchi hii itakalika?
Wabunge bungeni mnawafukuza na kuwatisha,mnataka taifa lisemee wapi? Bunge ni mahala pa mijadala ya taifa,wakianza kujadili mnawafukuza na kuwatisha
Serikali nayo ikisikia watu wanatumia Uhuru wao kujadili,wanatuma polisi kuwakamata
Kuna kihadithi fulani kinasema kwamba hata umuwekeee vifaranga mia,ukimuachia tu,mwewe atapaa na kuondoka,Uhuru ni kitu cha asili cha binadamu,
Mkoloni na mabomu yote na mabunduki,hakufanikiwa kumnyamazisha Nyerere,kenyata,Mandela,Mugabe,
Leo karne ya 21 unawaza kuzuia watu wasiongee?
Wapinzani waliongea tena kwa ruksa na kukingiwa kifua na Nyerere baada ya tume ya Nyalali,
Leo wewe ni nani wa kumshinda Nyerere busara? Wewe unaweza kumshinda baba wa taifa kwa maono? Ccm walikataa vyama vingi,Nyerere akawaambia acheni ujinga,na wakati Mkapa anaomba urais,nyerere hakuzuia wapinzani wasipige kampeni,alisema muacheni Lyatonga mashabiki wake wamsukume gari lake,mrema yuko mwanza kwenye kampeni ,nyerere yuko mbeya,hakuamuru lyatonga akamatwe
Mtoto wa Nyerere alikuwa NCCR,Nyerere wala hakuumia kichwa... Leo hii unataka kufukia jalalani busara za Nyerere? Kwa ugwiji upi wa kisiasa ulio nao?
Mwinyi alitaka kuleta Tanganyika,Nyerere akamwambia ilani tuliyokupa haina hiyo hoja,umeitolea wapi? Leo ilani INA hoja ya mimba za wasichana,unaikataa,kwa hiyo kwenye kampeni mlikuwa mnawadanganya watu? Ccm itwambie kwamba ilani yao iko kichwani kwako au wana kitabu maalum cha ilani kinachoongoza mambo mbalimbali ikiwemo Uhuru wa mahakama
Kweli kabisa...prerogative orders never issue where the question at hand is political in nature!!!Ndugu yangu Mayalla, Prelogative Orders hazitafutwi au kuombwa mahakamani kama maombi mengine yanavyoombwa. Prelogative orders hazitolewi kwa sababu tu nchi inaendeshwa kidikteta. Nchi inaweza kuendeshwa kidikteta lakini kukawa hakuna misingi ya kudai Prelogative orders. Orders hizi zina misingi yake na miiko yake ya kipekee kabisa iliyopo kisheria, na wala haziwezi kutolewa katika misingi ya kisiasa.
Ndiyo maana mkuu na wasaidizi wake wanapakacha?! Huwezi lazimisha mapenzi ya watu labda kazi nzuri itawashawishi!!Lowassa ana ziara huko musoma, jiandaeni kudeki na kufagia barabara maana inasemekana ninyi wenyeji wa musoma mko vizuri kwenye hiyo fani
Hivi mnadhani nyie ndio RAIA wa nchi hii Pekee mlio na haki zaidi ya Wengine?
Haya, tumegee kidogo hiyo kitu kwani wengi wetu hatujainusa! Karibu uyaweke hapa.Pascal mayalla na mwenzako okoth mmesha maliza mipango yenu na makonda
Kanawe uso basi utoe na hayo matongotongo ya ugogoni! Hicho "hukubhamna" ni kigogo au kinyakyusa? Jaribu kuwa na hoja zinazoendana na umri wako basi baby boy!Kwani nani kakukataza kuandika yako pia!!!
Hampendi ukwelu na tunechoka siasa za kiki hukubhamna ujuzi wowote