Abbasy
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 123
- 9
Ha2na "AG" kwasasa ni "kiazi" 2 kipo bora tarehe imekua counted. Nilianza kumdisi jamaa toka ilpo letwa hoja ya mchakato wa katiba mpya, ilivyo mfikia jamaa aling'aka huku akionesha jazba kwa mbali utafikiri kaletewa talaka. Mwisho wa cku akatoa hoja eti hakuna haja ya katiba mpya labda ka inafanyiwa mabadililo. Kama mwana sheria msomi hakutakiwa kukurupuka na kunena vile. Hapo ndo'nilianza kuwa na mashaka naye, na kadiri cku zinavyojongea ndo'vumbi na moshi wa carbon dioxide linavyojizihirisha kwa kiasi gani limejaa kichwani mwa jamaa.
magamba yanakuuma kalale bana waache wanaoweza kuandika hoja za maana