Hoja ya Spika Ndugai: Nitawafukuzaje wabunge ambao Rufaa zao hazijasikilizwa na Baraza kuu kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA?

Hao wabunge walikanwa na CHADEMA. Sasa kama CHADEMA imedai haikuwateua kuwakilisha CHADEMA swala la kufukuzwa siyo lazima liwe sababu kuu ya Ndugai kutowaondoa. Siyo kazi ya Ndugai kutafsiri katiba ya CHADEMA. Ndugai siyo mwanachama wa CHADEMA na haitii katiba ya CHADEMA.
Ndugai ni mpuuzi mmoja, hivi aliyekaa kwenye kiti cha speaker name kukitumia kihuni huni period
 
Hivi ukimuita mtu na asitokee bado haki yake ya kusikilizwa inakuwa reserved?

Hawa wako 19, how comes wote kwa pamoja wakawa na dharura na kushindwa kuitikia wito wa chama? Don't you smell anything fishy?!
Ndugai amewapa Chadema maelezo mengine kwamba wapeleke barua yenye viambatanisho
Maana yake nikwamba sasa anakubaliana na hoja ya Chadema.
Bavicha wasiende kumghasi jobo bali wafanye walivyoshauriwa
 
Back
Top Bottom