hoja ya ridhiwani ya kutaka chaso arusha kufutiwa uanachama ni yakipuuzi

Moses James

Senior Member
Dec 13, 2012
131
21
Mimi kama mwanachama wa CHASO Arusha nataka sema kwamba hoja hiyo haina mashiko na hivyo hatuna mda wa kumjibu upuuzi aliouandika kwenye Facebook yake. Taarifa ile ya chaso imetolewa kwenye kikao cha ndani ya chama. Hata hivyo kwani ridhiwani una maslahi gani na uanachama wa zitto kwetu Chadema.
 
Chadema mnaniangusha Mna subiri nini kumfungia Zitto virago?
 
Chadema mnaniangusha Mna subiri nini kumfungia Zitto virago?

hapana mkuu

1. taratibu za chama lazima zifuatwe kwa uhakika

2. Siku 14 lazima zitimie

3. Lazima awakilishe utetezi wake

4. lazima asikilizwe na kuhojiwa ikibidi

5. maamuzi yatolewe

Hata hivyo kwa makosa haya, hakuna maamuzi mengine zaidi ya kumfukuza mojakwamoja yeye na wasaidizi wake waende

wanakodhani mipasho, majungu, matusi, udini, ukabila, hujuma zaukanda nk wanazikubali-yaani wakaanzishe chama

cha uzushi na kuzingatia dini katika mgao wa madaraka badala ya uwezo wa mtu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom