Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,580
- 9,293
Huyo ni mpumbavu anaongea haya sababu wao hawakuendeleza mjadala wa Katiba mpyaAliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani
Polepole amesema hata mzee Kikwete alitaka kutengeneza katiba mpya wakati anatoka madarakani
Hivyo wale wote wanaoshinikiza katiba mpya sasa wanafanya kosa kubwa amesisitiza Polepole.
Source: The Big Agenda Star tv.
Labda tujiulize, Rais anayetoka si ndio aliyepo mpaka siku atakapoapa mwingine??
Kwa hiyo anataka kusema haitatokea Rais anayetoka sababu Rais anayetoka huwa hayupo Bali siku anayotoka ndio anakuwa ameshatoka na anayeingia hawezi kuja kuwa Rais anayetoka mpaka atakapotoka.
Kwa maana nyingine basi Katiba haitapatikana. Jinga kabisa huyu mzee kijana