Hoja ya nguvu au hoja ya nguvu

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Wana jf naomba msaada juu ya matumizi ya matumizi ya maneno yafuatayo: Hoja ya nguvu na Nguvu ya hoja. Mtu anaposema mathalani jambo hili tutalimaliza kwa nguvu ya hoja anataka kusema nini na hivyo hivyo mwingine akasema jambo hilo tulimalize kwa hoja ya nguvu. Nini tofauti ya matumizi ya maneno haya.
 
Back
Top Bottom