Hoja ya Ney wa Mitego haiwezi kutuhamisha kwa Daudi Bashite na uvamizi wa Clouds Media

Hilo likae likieleweka kama lilivyo

Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.

Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.

Daudi bashite aoneshe vyeti

Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.

Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.
Naunga Mkono Hoja
Tunalala na Bashite na Tunaamka na Bashite
 
Ni kweli bado tunahitaji hatua zichukuliwe dhidi ya Daudi Bashite ambaye jina lake la kisanii na lakughushi ni Makonda.

Hatua zichukuliwe juu yake kwa mambo mawili

1: kughushi cheti
2:kutumia madaraka vibaya kwakuvamia clauds kushinikiza kitu cha ajabu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya.
 
[HASHTAG]#hatukubali[/HASHTAG] gaidi huyu aendelee kuwa mkuu wa mkoa ...haijawahi kutokea mvamizi ama jambazi ama gaidi kua kiongozi ktk eneo lolote la nchi
 
Attachments

  • VID-20170319-WA0004.mp4
    1.7 MB · Views: 11
Ni kweli bado tunahitaji hatua zichukuliwe dhidi ya Daudi Bashite ambaye jina lake la kisanii na lakughushi ni Makonda.

Hatua zichukuliwe juu yake kwa mambo mawili

1: kughushi cheti
2:kutumia madaraka vibaya kwakuvamia clauds kushinikiza kitu cha ajabu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya.
Kachukue form
 
Hilo likae likieleweka kama lilivyo

Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.

Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.

Daudi bashite aoneshe vyeti

Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.

Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.
Kachukue form
 
Hilo likae likieleweka kama lilivyo

Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.

Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.

Daudi bashite aoneshe vyeti

Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.

Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.
Na hii ya Nay wa mitego inauhusiano wa karibu sana na kumlea bashite kwenye vyeti na uvamizi wa clouds, vitu vilivyopelekea aliyekuwaziri Nape kutumbuliwa kwa majigambo ya "Makonda chapa kaziii... sipangiwi" na kosha kutishiwa kwa bastola hadharani.
Chanzo ni kumgusa bashite anayelindwa kuliko mboni ya jicho.
Chanzo mbona hakiguswi??
 
Hatuwez tena kuendeshwa kwa maigizo na matukio
Hilo likae likieleweka kama lilivyo

Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.

Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.

Daudi bashite aoneshe vyeti

Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.

Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.
Hichi Ndio anachojaribu mkuu Na sishangai ikiwa itakuwa amepanga Na Hili Ili kufuta la Bashite Lkn atamaliza Kiki zote Lkn hela Bashite hatutoliacha
 
Nyumbu huwaga hawana akili!

Yani kila anachofanya rais eti kututia kwenye vyeti!

Yani Magu afanye hivyo kwa kumuogopa nani hasa?
 
Tuna buy time bunge lianze tu tuishupalie tena, kwasasa tunaenda nayo ado ado
 
Walitafuta namna ya kuifuta kesi ya ney maana mawakili tundu lissu na kibatala walishajitoa kumtetea mahakaman wakaamua kuifuta kwa hofu ya kushindwa
 
Bahati mbaya au nzuri ni kwamba waliokuwa wanashikia bango hii kitu ni rahisi kucheza na akili zao, mpaka sasa watu wameshahamishwa kiakili.
 
Hilo likae likieleweka kama lilivyo

Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.

Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.

Daudi bashite aoneshe vyeti

Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.

Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.
Matamko matamko. Leo limesemwa hili kesho linapingwa.
[HASHTAG]#waokwawao[/HASHTAG]
Mpaka 2020
 
Back
Top Bottom