THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Hilo likae likieleweka kama lilivyo
Tuna vitu vya msingi sana ambavyo tumemchallange sisi wananchi kama walipa kodi katika utawala wake ambavyo vinahitaji majibu kwa haraka sana kuliko drama anazozionesha kila kukicha huyu bwana Juma Poor Manager.
Tunataka kumhakikishia kuwa mambo hayo hapo juu ni ya msingi na bado tutaendelea kushikilia msimamo huo.
Daudi bashite aoneshe vyeti
Daudi bashite ana case ya kujibu dhidi ya clouds media.
Vyombo vya habari tafadhali muendelee na msimamo wenu.