Hoja ya Muungano yalifunika baraza la wawakilishi

usiloweza kulila usilitie ila una maanish awwkilishi wetu ni watu wajinga? fuatilia prifile zao ! acha kukuripuka! utaadhirika mno! huu ni uwongo na dharau hebu ni kuulize ni mtanganyika gani aliyeingia katika orodha ya wanazuoni bora mia duniani? wazanzibari tunao mmja ni pro IDRISA ABDALLAH RAI fuatilia acha kuengea kwa chuki!

unatapatapa na ubaguzi, nilitegemea unaniambia kuwa zanzibar ina wanazuoni 1000 na wote wapo baraza la wawakilishi!huyo mwanazuoni katoa mchango gani katika hiyo zanzibar? yu wapi, amefanya nini cha maana? amekutuma umtangaze?chema cha jiuza, Field Marshal Okello ni bora mara 10.0000 huyo mwanazuoni. Ila jengo la baraza la wawakilishi ni zuri sana
 
kama hujui kusema usijilazimishe kusema! wazanzibari huko si omba omba kama mulivyo nyinyi huku , watu wanashughuli zao! au umesikia mzanzibari kufungwa kwa wizi huko? njoo huku utajionea idadi yenu! fikiri ndipo utende, usijifanye wjua kumbe kilaza! nenda huko sauzi utajionea! mm binafsi huku najionea shida kuitwaMTZ

Shughuli gani hizo ?za uganga wa uongo na kupiga madezoo?' au kuuza matunda mitaani? Ebu usinichefue nataka kuangalia euro saahizi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom