Hoja ya Mkonge kuimaliza CCM Tanga - Zitto na Mnyika watikisa Korogwe

Mkuu sio kosa lao,walijua bado Mwl Nyerere anatawala,ila kwa sasa ukweli wameujua kupitia kwa makamanda wetu wa CDM.
 
MKuu Kigwa,
Hilo la Zitto kuvamia hoja kama unavyosema nadhani sio sawa, Wabunge wa ccm mmeamua kuwa watumwa wa chama kilichopoteza touch kwa wananchi na hivyo hakiwajali walalahoi na ndio maana hakuna Mbunge wa Tanga hata mmoja amezungumzia hili suala an kama Zitto angenyamaza asingekuwa na toafuti yoyote na wabunge wa ccm.
Hili la Ajira ni gumu sana, halihitaji siasa kabisa ingawa kwa bahati mbaya Bongo kila kitu kinawekwa siasa. Hata mkiajdili pale mjengoni kama nchi haina viwanda inasafirisha malighafi nje kwa wingi ni vigumu sana kutatua hili tatizo, Kama Kilimo chetu hakiwezi kuboreshwa na kuwa cha kisasa chenye soko la uhakika na maji ya kutosha Bungeni hamataweza kutatua hili tatizo. Mwisho washauri Wabunge wa ccm kuweka maslahi ya Wapiga kura mbele vinginevyo kuna siku hata kura za kuchakachua hazitatosha.
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

Mkuu unapinga approach ya Zitto halafu unajifagilia hebu ona ulivyo mbinafsi. Mpambanaji wa kweli yuko neutral na hana itikadi kwa mambo yenye maslahi kwa waTZ. Unamponda Zitto halafu unajifagilia usifikiri tutakuona wa maana sana kwani hapa nilitegemea uonyeshe ukomavu wa kisiasa zaidi na siyo ushabiki wa kushabikia meli inayozama ya CCM. Kwanza ukitaka ueleweke hapa vua hilo gamba la kijani ambalo limeiweka pabaya sana nchi yetu. Mkuu umevaa sumu na kwa hiyo unapotoa hoja ukiwa katika hilo gamba tunasita kukuamini usemacho.
 
Dr Hamis

Mimi nadhani hapa wengi wetu huwa tunashabikia lakini hatutaki kupata undani wa kila kitu badala yake tumekua watu wa kukurupuka badala ya kutafakari na kuipata mantiki.

Kama utakumbuka hii hoja Prof Majimarefu aliuliza swali sikumbuki swali no Mia Tatu na ngapi hivi na ilishaundwa team ndogo ya kupata ufumbuzi kuhusu hali halisi .

Hoja ni nini?

Yale mashamba yote yako chini ya Katani limited ila ni Mali ya serikali na Katani limited imetumia mashamba hayo kuchukulia mkopo Bilioni nyingi tu.

Kwanza ni kinyume cha utaratibu
Pili,
Watu wote wanakodishwa na Katani limited na hakuna umiliki kwa watu wengine ambacho ndio kilio cha wabunge wa Tanga ., sasa je hivi ni haki unataka shamba matokeo yake unakodishwa tu na wakati unatumia gharama na huko huru kuuza kwa Bei ya soko na ni mtu mmoja ndio yeye anapanga Bei?

Lakini kingine ni kua hii Katani limited walikua na Ziara mkoani Tanga na jopo la waandishi wa Habari na Mhe Zito akiwemo mpanga Pangani na inasemekana amepewa chochote ili huyu mmiliki aendelee kupata umiliki na pia kutumia ukweli wa umuhimu wa zao la Mkonge kugain Public sympathy..

Kwahiyo ieleweke Hoja Kama hoja ni nzuri Sana sana tatizo liko kwenye umilikishwaji wa mashamba na watu wanataka mashamba na si KUKODISHA.
 
[

Kwahiyo ieleweke Hoja Kama hoja ni nzuri Sana sana tatizo liko kwenye umilikishwaji wa mashamba na watu wanataka mashamba na si KUKODISHA.=HKigwangalla;3356632]Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...[/QUOTE]
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

Ina maana
 
Dr Hamis

Mimi nadhani hapa wengi wetu huwa tunashabikia lakini hatutaki kupata undani wa kila kitu badala yake tumekua watu wa kukurupuka badala ya kutafakari na kuipata mantiki.

Kama utakumbuka hii hoja Prof Majimarefu aliuliza swali sikumbuki swali no Mia Tatu na ngapi hivi na ilishaundwa team ndogo ya kupata ufumbuzi kuhusu hali halisi .

Hoja ni nini?

Yale mashamba yote yako chini ya Katani limited ila ni Mali ya serikali na Katani limited imetumia mashamba hayo kuchukulia mkopo Bilioni nyingi tu.

Kwanza ni kinyume cha utaratibu
Pili,
Watu wote wanakodishwa na Katani limited na hakuna umiliki kwa watu wengine ambacho ndio kilio cha wabunge wa Tanga ., sasa je hivi ni haki unataka shamba matokeo yake unakodishwa tu na wakati unatumia gharama na huko huru kuuza kwa Bei ya soko na ni mtu mmoja ndio yeye anapanga Bei?

Lakini kingine ni kua hii Katani limited walikua na Ziara mkoani Tanga na jopo la waandishi wa Habari na Mhe Zito akiwemo mpanga Pangani na inasemekana amepewa chochote ili huyu mmiliki aendelee kupata umiliki na pia kutumia ukweli wa umuhimu wa zao la Mkonge kugain Public sympathy..

Kwahiyo ieleweke Hoja Kama hoja ni nzuri Sana sana tatizo liko kwenye umilikishwaji wa mashamba na watu wanataka mashamba na si KUKODISHA.
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

Ina maana hata gamba Hkigwangala magamba wenzio wanakupiga gwala
 
Ina maana hata gamba Hkigwangala magamba wenzio wanakupiga gwala livue gamba uhame
 
Za la mkonge ni kilimo cha wakulima wakubwa, ili uione faida yake unahitaji mashamba na msingi mkubwa sana. Chadema sasa mnawapotosha wananchi walio wengi ambao zao la Mkonge si saizi yao.

Isitoshe zao la Mkonge mbona linafufuka kwa kasi tu.
 
Job well done Mh Zitto na Mh Mnyika.

CDM ni lazima na pia ni muhimu sana muoneshe mna-ofa nini kama mbadala wa CCM. Apparently Wananchi are slowly but surelybecome tired of silly politics of status quo (ccm), they want change and visible results in connection to their very life.

Na huyu Mh Hamis aache partisanship.....kama ilikuwa hoja ya hao wabunge wa Tanga where were they these (few) past 30yrs? It makes up for convience chat.
 
ASANTENI WAH ZITTO NA MNYIKA:
SASA TUNAHITAJI KAMPENI YA 'OPERESHENI FUFUA MKONGE' UTIKISE KILA KIJIJI KATIKA MIKOA HUSIKA ILI TUKAWASAIDIE WANANCHI HAWA

Vichaa wetu Mnyika na Kabwe, mpka hapo ni zaidi ya BAO LA KISIGINO golini mwake CCM kwa mikoa ya mkonge kote nchini.

Hadi hivi sasa ni dhahiri kwamba ulaghai wa CCM kwa wananchi kwa upande mmoja na kwingineko kuwakomoa wasipate maendeleo yote ni mambo ambayo sasa yamebainika kwa wananchi hadi vijiji vya ndani ndani huko Korogwe.

Hadi hapa CHADEMA tushikane bega kwa bega na wananchi wa mikoa hii ya Morogoro, Pwani na Kilimanjaro kwa kuwatembelea huko huko mashambani kupitia kampeni mpya tutakayoiita
'Oparesheni Fufua Mkonge' ili tunaporudi bungeni iwe ni kweli tunawashilisha sauti zao zilizosalitiwa na wabunge wa CCM akiwamo 'Prof' Majimafupi.

CDM makao makuu pamoja na BAVICHA, ova; turudishe matumaini kwa vijana waliokosa ajira na wakulima waliodumaa kimapato kupitia kampeni hii kote vijijini!!!!!!!
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

Kuna wakati mwingine watu mlisoma mnaongea pumba tupu. DR mzima kma unaona Serikali ya chama chako imeshindwa kubuni mikakati ya kuwapatia vijana ajira bado unangoja nini katika chama ovyo kama hicho? Hata ile hoja yako ya Nzega haikuw ana mantiki yoyote kwa kuwa unataka kuleta hoja dhidi ya Serikali ya chama kilichopo madarakani na wewe ukiw ambunge wa chama hicho hicho. Kama imefika mahala mambo hayaendo mpaka kwa hoja binafsi kwanini ninyi wasomi msikiri hadharani kuwa CCM Kwishinei!!!
 
Homeboy Kingwangallah,

Alichofanya Zitto ni SIASA. Kama umeshacheza mchezo wa Chess au Draft, hiyo inaitwa unampa kwanza mtu ale ili mwishoni ajipange vizuri kwenye mstari na mwisho unammaliza kiurahisi.

Ukisoma historia ya Mtemi Mirambo, mzee ambaye nimetokea kumheshimu sana, alitumia mbinu hizi kwa kujifanya anamkimbia adui na adui akajileta kwenye msitu aliokuwa kajipanga vizuri na hapo alitembeza kipigo cha Mbwa mwizi.

Alichokifanya Zitto ni kuwatega CCM kitoto sana. Alileta mada ambayo alijua LAZIMA CCM ITAPINGA. Ila hamkujua kwamba kwa kufanya hivyo, mmeshampa nafasi ya kwenda Tanga kuwashitaki kwa wananchi. Na cha ajabu si kuwa aliwashtukiza kwani kabla ya vikao, huwa kila kitakachosomwa, kinawekwa hadharani kwenu. Sijui kwa nini hata mwana CCM mmoja mwenye kuona mbali, hakuliona hilo. Anyway, kama wabunge wa CCM kwenye mkutano walimtuma Wasira na akapiga kura kuwaondoa wasigombee NEC bila kujua na mwisho anamuuliza Kinana mpango umefikia wapi wakati mwenyewe alijifunga goli bila kujua, huwezi kushangaa.

Kuhusu kesi ya kuwatetea wananchi wa Nzega kuhusu migodi, nakubaliana na wewe kuwa ulifanya makosa makubwa. Kama kweli una nia ya dhati kulifanikisha swala hilo, kwa nini usiwaone wataalamu. Mie ningelikuwa mgonjwa, ningelikuja kwako unitibu. Kwenye swala la migodi, utatakiwa kumuona mtaalamu wa sheria maana huwezi kwenda kwa kutumia mabavu. Na inapokuja swala la SHERIA na kupigania haki za binadamu/wanyamwezi, tafadhali weka taifa mbele na chama nyuma. Wala usifikiri mara mbili mbili, wee nenda muone Mpiganaji, TUNDU LISU na nina imani atakusaidia sana sana. Hata watu kama Dr. Slaa inapokuja kwenye mambo ya sheria anaweza kuwa msaada mkubwa.

UDSM au sehemu nyingine nyingi tu, kuna Wanasheria waliobobea na wanaweka taifa mbele, watakusaidia sana. Hata kaka Samuel Sitta anaweza kukusaidia kama kweli una nia ya dhati. Ila katika hao wote, bado nina imani Tundu Lisu is the best.

Angalizo: Ninavyosema Tundu Lisu au Slaa, simaanishi CHADEMA. Ninavyosema Sitta simaanishi CCM.
kuhusu migodi ya madini Tanzania, kwa upande wangu hatuhitaji hata wawekezaji. tunatakiwa tuwe na demonstrated example ya uchimbaji wa madini ya nzega, kahama, Mpanda, Mbeya , Mwanza n.k. Ukiangalia madini yote tanzania hasa upande wa Dhahabu, galena, copper, Iron, Manganese ya Kigoma, nickel, silver, ukiyafanyia analysis utakuta yako kwenye categories kama hivi, coppernagold zinakuwa pamoja au gold na galena zinakuwa pamoja au copper gold na silver zinakuwa pamoja n.k. Uchimbaji wa madini haya ni wa aina moja na vifaa vinavyotumika ni aina moja tu kwa madini hayo yote. Nyinyio kama wabunge vijana unganene mtoa tofauti zenu za vyama mtengeneze demonstrated example ya kuchimba mpaka kuprocess. Machines nzuri za kuchimbia one set kwa wachimbaji wadogo zinagharimu kama Usd 3,000 tu. machine za kuprocess copper, gold, pb,Ag, manganese concentrates ndogo zinagharimu kama Usd 26,000 tu. hapo utapata crusher,ball mill ndogo,floatation machine ndogo na screen seperator tatu. Watanzania wanatakiwa demonstrated examples.
 
Homeboy Kingwangallah,

Alichofanya Zitto ni SIASA. Kama umeshacheza mchezo wa Chess au Draft, hiyo inaitwa unampa kwanza mtu ale ili mwishoni ajipange vizuri kwenye mstari na mwisho unammaliza kiurahisi.

Ukisoma historia ya Mtemi Mirambo, mzee ambaye nimetokea kumheshimu sana, alitumia mbinu hizi kwa kujifanya anamkimbia adui na adui akajileta kwenye msitu aliokuwa kajipanga vizuri na hapo alitembeza kipigo cha Mbwa mwizi.

Alichokifanya Zitto ni kuwatega CCM kitoto sana. Alileta mada ambayo alijua LAZIMA CCM ITAPINGA. Ila hamkujua kwamba kwa kufanya hivyo, mmeshampa nafasi ya kwenda Tanga kuwashitaki kwa wananchi. Na cha ajabu si kuwa aliwashtukiza kwani kabla ya vikao, huwa kila kitakachosomwa, kinawekwa hadharani kwenu. Sijui kwa nini hata mwana CCM mmoja mwenye kuona mbali, hakuliona hilo. Anyway, kama wabunge wa CCM kwenye mkutano walimtuma Wasira na akapiga kura kuwaondoa wasigombee NEC bila kujua na mwisho anamuuliza Kinana mpango umefikia wapi wakati mwenyewe alijifunga goli bila kujua, huwezi kushangaa.

Kuhusu kesi ya kuwatetea wananchi wa Nzega kuhusu migodi, nakubaliana na wewe kuwa ulifanya makosa makubwa. Kama kweli una nia ya dhati kulifanikisha swala hilo, kwa nini usiwaone wataalamu. Mie ningelikuwa mgonjwa, ningelikuja kwako unitibu. Kwenye swala la migodi, utatakiwa kumuona mtaalamu wa sheria maana huwezi kwenda kwa kutumia mabavu. Na inapokuja swala la SHERIA na kupigania haki za binadamu/wanyamwezi, tafadhali weka taifa mbele na chama nyuma. Wala usifikiri mara mbili mbili, wee nenda muone Mpiganaji, TUNDU LISU na nina imani atakusaidia sana sana. Hata watu kama Dr. Slaa inapokuja kwenye mambo ya sheria anaweza kuwa msaada mkubwa.

UDSM au sehemu nyingine nyingi tu, kuna Wanasheria waliobobea na wanaweka taifa mbele, watakusaidia sana. Hata kaka Samuel Sitta anaweza kukusaidia kama kweli una nia ya dhati. Ila katika hao wote, bado nina imani Tundu Lisu is the best.

Angalizo: Ninavyosema Tundu Lisu au Slaa, simaanishi CHADEMA. Ninavyosema Sitta simaanishi CCM.

Kaka umeona mbali sana,Yani Zitto kamA kwaenye drafti kawatega wale mbili ili awale tatu HADI KING
 
Mpaka waje wakatike miguu kwa umasikini ndipo watakapoamka na kuleta mbadala wa uwakilishi. Pamoja na matatizo yote wanayoyapata hata ukitokea uchaguzi mdogo Tanga, kwa ubwabwa, kofia, kanga na tshirt watachagua ccm hawa.
Haina hata haja ya kuwaonea huruma!
 
If this is the kinda of MP we have then we are finished....!!! I thought this guy is a great thinker but now it has come to my knowledge that He is just a common person. Think BIG kaka, wabunge muache kulala this country depends much on you guys!!!! Why dont you realize, I pray that the day comes ili muumbuke.
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya Korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

What you have written is just rediculous, you dont have to comment if you dont know what to comment!!! I am worried if that is the kinda of MP Tz has, where does this country heads then!!! You are among few CCM MPs i do respect, you should not have commented for the sake of your status...........
 
Zitto alivamia ajenda ya Wabunge wa Majimbo ya korogwe, kwa vyovyote vile alitegemea wangempinga. Angetaka afanikishe ajenda yake, ambayo kimsingi ni nzuri, angewahusisha wenzake wenye dhamana na majimbo hayo. Tatizo lilikuwa ni njia na wala siyo malengo (kama kweli alikuwa nayo, na kama alikuwa na nia ya kizalendo ya kutaka mafanikio kwenye hili). Kama alikuwa anafanya siasa, kama inavyojidhihirisha sasa, matokeo ndiyo hayo - kukumbana na upinzani na ushindani mkali!

Mimi binafsi nimejifunza: Hoja yangu binafsi ya uchimbaji dhahabu Nzega nliyoiwasilisha kwenye zaidi ya mikutano 5 ya Bunge haijawahi kupatiwa nafasi kwa visingizio visivyo na maana kwa vile tu ni ya kipambanaji na mimi niliifanya ni yangu binafsi, sasa nimeamua kuunganisha wadau wengi zaidi ili tushirikiane kuiweka sawa na kuiwasilisha tena. Na sasa nimeamua kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusiana na ajenda ya 'ajira kwa vijana' lakini nitawashirikisha wabunge wenzangu vijana kabla ya kufanya hivyo ili tufanikishe upatikanaji wa ufumbuzi wa pamoja wa tatizo hili...

ccm mnajimaliza kwa upofu wenu kweli zizo alikuwa anafanya siasa mkuu wabunge ufumbuzi wa pamoja mnatafutia bungeni kama zito alivo fanya? au mnatafutia mitaani? wewe ni mbunge wa kuchaguliwa au viti vya mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom