Hoja ya mifuko ya hifadhi ya jamii miaka hamsini na tano ndipo upate mafao ya uzeeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya mifuko ya hifadhi ya jamii miaka hamsini na tano ndipo upate mafao ya uzeeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mosachaoghoko, Aug 6, 2012.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sababu ni kuwa makampuni ya MADINI ambayo yalikuwa yanalipa mrahaba wa 3% kwa serikali yetu/Taifa letu tayari huo mrahaba viongozi wetu walisha chukua mpaka ziada ambayo ilikuwa haijawa ya kulipwa sasa tayari viongozi hawa wa CCM na serikali yake wamechukua mikopo ya kuendeshea nchi kwa kutegemea mrahaba na sasa makampuni ya madini yameibana serikali kuhusu kulipa mikopo na serikali kugundua hivyo ikaja na hoja ya wafanyakazi ambao huchangia kiwango kikubwa ni wale wa migodini ili kulipia mikopo ambayo serikali imechukua ili kuweka kipengele cha kupata mafao yao ya uzeeni ni baada ya miaka 55 ili kwa muda wote huo waweze kulipia madeni na kufanyia biashara ya utekelezaji wa ahadi za Rais wetu mpendwa J M K wakati wa kampeni zaidi ya Trilion sabini za kibongo
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  Ngoja nilale
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuwa na hoja lakini huu uandishi usio na comma wala full-stop unatufanya tusipate ujumbe. Ni kama vile mkondo wa maji unavyotiririka. Huwezi kujua mwanzo wa wazo wala mwisho wake. Au ndiyo mtindo wa kisasa?
   
 4. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hap ndio utaona jinsi wabunge wetu walivyo. Haya yote yanayojadiliwa sasa walitakiwa wayaone wakati wanajadili muswada huu mwezi wa nne. Wala isingefikia hatua ya kusainiwa kama wao kweli wanatuwakilisha ipasavyo. Haya yote walishindwa kuyaona wakati wa kujadili huu mswada. Inaonyesha jinsi gani wako dhaifu.
   
Loading...