energizertz
New Member
- Jan 20, 2018
- 4
- 23
Mbunge wa Arusha Mjini, Mh. Godbless Lema ameendelea kuonyesha ukomavu wake wa kisiasa, hasa baada ya kuzungumzia kwa ufasaha namna serikali ya awamu ya tano ilivyojiingiza kichwa kichwa ktk biashara ndege, kama clip hiyo ilivyooneka YouTube.
Mimi mwenyewe ni miongoni mwa Wazalendo waliotamani kuona nchi ikipiga hatua na hatiamaye kuwa na sehemu katika anga la kimataifa. Lakini sikutamani kuona hilo likitokea katika namna au staili ya kukurupuka, without detailed feasibility studies na kuhusisha maoni ya wadau wa biashara hii nyeti.
Kufuatia ununuzi wa ndege unaoendelea, ukiachilia mbali "waimba mapambio", kama anavyowaita Mh. Lema, wadau wengi wenye nia njema na ustawi wa nchi hii wamekuwa wakitoa maoni juu ukurupukaji (lack of strategy), wenye viashiria vyote vya kuanguka kwa biashara hii na kusababishia nchi hasara, huku mahitaji ya msingi na vipaumbele yakiendelea kuzorota na kudumaza hali ya mwananchi wa kawaida.
Mengi yamezungumzwa, na mwenye masikio na asikie. But it is imortant to understand a country is built through collective ideologies and respected differences.
Tunahitaji viongozi kama kila Lema (opposition leaders at large), wanaochukua muda wao kudadavua mambo muhimu na kutoa ushauri wenye mashiko badala ya kuimba praise songs (mataga in caption). Hivyo Lema et. al, hongereni na msikate tamaa endeleeni kupigani taifa hili pendwa.
#Tanzania4All