kwani zile fedha za uchaguzi ,dada yake alizopewa na mzungu wake zitarudi vipi?Au ndio ulikuwa ujira wa dada kupopolewa!Kuna kitu huyu dogo anakitafuta,wala watu kama hawa hatuwahitaji CDM.Bado nazidi kumfuatilia kwa karibu.
Mbona kule FB anasema hoja ni yake binafsi? Hajatoa acknowlegdement kwa Chadema hata kidogo.
Kabla hajachaguliwa kuwa naibu waziri, Mh. Makamba aliahidi kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusiana na ulipaji wa kodi za nyumba za kupanga.
Alisema angependekeza kodi iwe inalipwa kila mwezi badala ya mfumo holela unaotumika sasa ambapo kila mwenye nyumba anaamua alipwe kodi ya mda gani.
Wengine wameenda mbali wanataka walipwe kwa dola, kwa mtazamo wangu ni mda mwafaka kwa hoja kama hii kupelekwa bungeni, maana hakuna mtanzania anaelipwa mshahara wa mwaka au miezi sita, kwa hiyo ni vyema kuwepo na utaratibu wa wenye nyumba kupokea kodi ya mwezi moja moja.
NAOMBA KUWASILISHA.